Mtangazaji wa kituo cha Citizen TV, Swaleh Mdoe ametangaza kuuza figo ili aweze kulipa madeni yanayomkabili

Mtangazaji wa kituo cha Citizen TV, Swaleh Mdoe ametangaza kuuza figo ili aweze kulipa madeni yanayomkabili

What a man gotta do!, a man gon do
 
Hahah kweli, wanaomdai watajifikiria upya kuhusu hayo madeni
Yaani wanaomdai watalipwa na hela za figo? Waafrika? Mbona kama uilluminati huo? Dah, hapo tayari nimetag hao jamaa bila hata kunuia! Hii ndo mara yangu ya kwanza, na itakuwa yangu ya mwisho, kuwataja kwenye mitandao wa kijamii! Hapo wanaomdai watanunua rosari nyingi hadi wapewe discount! 😀
 
Hamja muelewa huyo kiufupi anaintroduce iyo biashara inchini kenya kupitia imaarufu wäke na si shida ya pesa
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Matatzo atakayoyapata na gharama zakee yatakuwa makubwa na Kugharimu zaidi ya hiyo hela aliyoipataaa so ni boraa aombee ndugu na jamii imchangiee...Kuliko kutengeneza ugomjwaaa ndo ajee kuombaa msaada kwa jamii maana hapo anatengeneza tatzo ambalo jamii itakuja kumsaidia kulitatua kuokoa uhai wake..
 
Duh yan mtu namdai anambie nauza kiungo changu nikulipe namsamehe asee
 
Dah sasa em ngoja hivi kwanini wakenya msimsaidie huyo ndugu yenu ninyi minyang'au

Wazee wa uperhill, karina, ngara, kakamega, kajiado, ushago where the hell?
 
Matatzo atakayoyapata na gharama zakee yatakuwa makubwa na Kugharimu zaidi ya hiyo hela aliyoipataaa so ni boraa aombee ndugu na jamii imchangiee...Kuliko kutengeneza ugomjwaaa ndo ajee kuombaa msaada kwa jamii maana hapo anatengeneza tatzo ambalo jamii itakuja kumsaidia kulitatua kuokoa uhai wake..
Sio kweli mkuu, kama procedure itakwenda vizuri, hakuna complication wala ugonjwa wowote ule, ni sawa na kutoa damu tu.
 
Nimecheka sana, huu ukurupukaji wa Watanzania upon kwa damu.
Umeona eeh? Wanajuana kwa vilemba, wazee wa kuchuna ngozi! Dah, ni siku nyingi, enzi zile nikiwa shule msingi, yaani mtoto mdogo tu, hayo mambo yalikuwa yanatutisha si haba. Walikuwa wanadakana na yale matrela ya Tz yakielekea Namanga. Yalikuwa yakisimama tu barabarani hapo singonji kuona yatakayojiri! Nduki! Niliziogopaga zaidi ya vibwengo! 😀
 
Bila afya nzuri huwezi kufanya kitu chochote, anaweka mfano mbaya sana kwa watoto kuuza viungo vyao ili kupata pesa.
 
Kila mwenye shida na omba omba kenya anapewa uraia wa Tanzania
 
Back
Top Bottom