TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

Poleni!
 
R.I.P Dada Agness.

Nilichanganya mamba hapa nilidhani ni yule Fatuma Almasi Nyangasa, sitting yukowapi sikuizi.
 
Tuwe tunazingatia sana 'Ratiba' za Unywaji wa 'Dawa' hasa zile za 'Magonjwa' ya Hatari yalipo hapa duniani tafadhali ili Kujilinda na Kuwalinda pia.
Dahh Mkuu haubahatishi ukweli lazima usemwe kuokoa kizazi hiki dhidi ya "Gitaa la Dally Kimoko".
 
Hakuwa mwongeaji mwenye nuru usoni, it's like kuna kitu au labda ndio ilikuwa haiba yake, idk.

Pole kwa familia na ITV.
 
Lakini utakuta Lisu amewarundika kama panya huku mkichekelea!
 
Unashauri mazishi yafanyike vipi?
Kama ya wengine , ila "Mvunaji hapangiwi pa kuweka Mazao"
Mungu hapangiwi, mara ooh awekwe mahali pema peponi, mara jehanam, aah, Utavuna ulichopanda, no more no less!
 
Poa tuuu ilimradi hufanyiwi wewe. Hayakuhusu.

Acha ibada za Sanamu, inanihusu kwakuwa ni mtanzania mwenzangu kafariki, we vipi wewe?
Matendo yake yanaandamana naye, acheni kupaka makaburi chokaa kwa nje wakati ndani kuna mizoga inanuka kuliko panya buku aliyefia darini.
 

Acha ibada za Sanamu, inanihusu kwakuwa ni mtanzania mwenzangu kafariki, we vipi wewe?
Matendo yake yanaandamana naye, acheni kupaka makaburi chokaa kwa nje wakati ndani kuna mizoga inanuka kuliko panya buku aliyefia darini.
maiti hasemwi kwa mapungufu yake bt anasemwa kwa mazuri yake nakutakiwa pumziko jema maana binadam wote tuwakosaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…