Mtangazaji wa redio hajui kazi ya Baraza la Mitihani la Taifa NECTA

Njaa Mbaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2012
Posts
666
Reaction score
175
Nimemsikiliza asubuhi hii mtangazaji wa kipindi cha power breakfast Gerald Hando kwenye jicho la ng'ombe anataka katibu mkuu wa baraza la mitihani aueleze umma wa watanzania kwa nini wanafunzi wamefeli. Nikajiuliza hivi anajua kazi ya hili baraza si kuwaandaa wanafunzi kwa mujibu wa mitahala hili wafanye mitihani yao na kufaulu bali ni kutunga mitihani, kusahihisha, kutoa majibu na kutoa vyeti.

Sasa katibu mkuu atajuaje kama wanafunzi wameandaliwa vizuri kwa kuwa hii ni kazi ya taasisi nyingine yaani shule ndizo zenye wajibu wa kazi ya kuwandaa wanafunzi. Shule nazo zina mambo mengi walimu vifaa, miundombinu maslahi ya walimu, maabara nk. Sasa mwenye jukumu la kuhakikisha haya yote yanapatikana ni serikali ili mwanafunzi pate maandalizi mazuri afaulu mtihani uliondaliwa na NECTA.

Unakaa kwenye redio untaka mwenye jukumu la kutunga aeleze matatizo ya maandalizi ya wanafunzi kufanya mitihani. Nina wasiwasi na uwezo na uelewa na pia elimu ya huyu jamaa anaropoka bila kufikiri
 
Ndo matatizo ya watu kukurupuka pasipokujua kisa tu wana direct access kwenye media, mbaya zaidi unakuta analiongelea kiushabiki
 
Juzi hawa power breakfast ndio walikuwa wanamkebehi na kumdhihaki Mh. Mbatia alivyoleta hoja yake binafsi bungeni. Leo wanalaumu kushuka kwa elimu.

Njaa kweli mbaya sana.
 
wakuu mkimsema sana hando na power breakfast mods wataclose mada hii sasa hivi. shauri yenu
mods wakati mwingine sijui wana matatizo gani.
 
Radio hiyo ni janga jingine la Taifa nashawishika kuamini hawa jamaa wanasababisha watoto wasisome muda mwingi wanatumia kwenye burudani zao. Najua wapo mtakao bisha ila ukweli ni kwamba media zimeharibu watoto wa kizazi hiki.
 
ila nilishasema hawa tangazaji wa kubwabwaja ni wabaya sana kwa sababu tulio na akili utachanganua na kumzarau aongeapo pumba, lakini wale mbumbumbu kama wao wanaweza kuwa wanpotoshwa na hawa majamaa.
tuwe nao makini sana tunaposikiliza porojo zao.
na wale wanaokuwa na nafasi ya kupiga simu kwenye vipindi vyao wawe wanawapa live kuwa wanaongea pumba.
ila tatizo vipindi vyao vingi vya porojo na upuuzi hawaruhusu simu za wasikilizaji wangeruhusu ndio wangekuwa wanaibika.
 
Huyu jamaa ni mbulula kweli eti, nakumbuka ndiye alikuwa anasema wabunge wa upinzani wanafanya fujo bungeni leo hajui hata wa kumuuliza kwa nini watoto wetu wanafeli kweli ukiwa hujitambui unatumika kama toilet paper. Jamani njaa mbaya ndiyo mtaji wa mafisadi kututawala mtu anakana utu wake anashabikia upuuzi
 
Radio hiyo ni janga jingine la Taifa nashawishika kuamini hawa jamaa wanasababisha watoto wasisome muda mwingi wanatumia kwenye burudani zao. Najua wapo mtakao bisha ila ukweli ni kwamba media zimeharibu watoto wa kizazi hiki.
Hii radio ni perfume ya kuficha harufu itokanayo na uozo wa chama twawala.
 
Labda jamaa alitaka Dr Ndalichako ampe kila mwanafunzi A hata kama anastahili F sasa sijui angekuwa analisaidia nini taifa ni afadhali wanafunzi wafeli tujipange tunajua wapi kuna tatizo lakini tunakwepa kusema ukweli matokeo yake tunabwabwaja. Kama kuna mtu anajua elimu ya huyu jamaa naomba nijue jamani siyo kwa nia mbaya ni kutaka kutathimini uelewa wake
 
Hongera zako kwa kusikiliza clouds Fm, una moyo wa chuma. Ila mnatukera kuleta ujinga wa Clouds hapa wakati hamjalazimishwa kusikiliza mautumbo yao na Fm stations zipo kibao na za maana.
 
Gerald Hando na wenzake wakina PJ, Kibonde hawaelewi chochote... Nimesikia kwanza ni machoko
 
Necta hawawezi kuepuka hili kwani haya matokeo yanawalakini sababu hata wanafunzi ambao walikuwa na uwezo mzuri wamepigwa chini
 
Ndo matatizo ya watu kukurupuka pasipokujua kisa tu wana direct access kwenye media, mbaya zaidi unakuta analiongelea kiushabiki

labda na yeye ni Form Four C huwezijuwa ndio tz yetu hiyo..
 
Hongera zako kwa kusikiliza clouds Fm, una moyo wa chuma. Ila mnatukera kuleta ujinga wa Clouds hapa wakati hamjalazimishwa kusikiliza mautumbo yao na Fm stations zipo kibao na za maana.

toka alipoondoka masudi, fina na jimmy katika vipindi vya asubuhi halijapikwa tena Show ya kusikiliza, kidoogo haule wa times fm, wengine ma-mbulula tu
 
Wana Jamvi,

Niliisha sema huko na hapa narudia kusema tena, hii Clouds Redio ni janga la kitaifa!!! Mbali ya kuwa na ushabiki wa kijinga, vile vile uelewa wa Watangazaji wake ni mdogo sana. Kumbuka siku walipoendesha kipindi wakisema hakuna nyumba zilizochomwa moto kwenye vurugu za gesi huko Mtwara wakati vyombo vya serikali na magazeti wakithibitisha kwamba kuna nyumba zimechomwa moto!!!! Sasa unajiuliza hawa wanatangaza kwa maslahi ya nani?

No wonder mtangazaji hajui nini kazi ya NECTA.

Tiba
 
Gerald Hando na wenzake wakina PJ, Kibonde hawaelewi chochote... Nimesikia kwanza ni machoko

sema kitu ulichona uhakika nacho hata kama mtu ni mbulula vipi huwezi muita mtoto wa watu ni hatari sana..
 
Me nna wasiwasi na hii redio...hawalipi kodi hawa ndo maana wanajiamini na viajira vyao vya hovyo...mmesahau walivyomfanyia baba riz birthday.? Wanajikomba hawa na bahati mbya nasikia viboga vinaliwa yeeeleuwii...wanatafuta ukuu wa mkoa.polen
 
Wapo wengine waliniambia kuhusu yale maswali jinsi walivyojibu ilikuwa si wakupata four,nashauri uchunguzi ufanyike hadi necta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…