Mtangazaji wa Sibuka Radio aliyesoma Vichwa vya Habari leo arudi tena Darasani anatia 'Kichefuchefu' Kumsikiliza

huwa ninachefukwa sana ninaposoma habari nikakuta panapotakiwa kutumia "a" pameanza na "Ha" kwa mfano badala ya ahadi pameandikwa hahadi au haadi ....au maneno kama sio badala ya siyo, ndio badala ya ndiyo, baati badala ya bahati...

kundi lingine ambao wanatakiwa warudishwe darasani wakafunzwe upya usomaji ni polisi hasa RPCs, wengi wao ukiwasikiliza wanaposoma taarifa zao kwa wanahabari kwa kweli ni aibu. Ni kama wanajifunza kusoma
Tumerikamata ri tuhumiwa

Ajari mbaya imetokea wiraya ya tarime

Sisi ndo jeshi la porisi utake usitake razima tukufunze adabu
 
Kuna wengine wanakosea kuita juventus, wengine wanatamka juventasi na wengine juventusi
 
Huwa nachukia sana kuona mtu aliyesomea mambo ya habari anaharibu lugha ya kiswahili waziwazi.

pia wazungumzaji (hasa watu wa mjini) wana makosa mengi sana mfano;- ela badala ya hela, abari badala ya habari, haidi badala ya ahidi. N.k

Inastaajabisha sana mswahili hajui kiswahili.
 
Chini ya uzi huu, JF imeniletea uzi mwingine.

Mtu kaandika kichwa cha uzi "Teknolojia hatari inayoogopwa na waharifu huko China".

Huyu ni mtu asiyejua tofauti ya "wahalifu" na "waharifu".

Zamani tulichekana kwa kutojua Kiingereza.

Tukaja kugundua ni vibaya kuchekana hivyo, kwa sababu Kiingereza si lugha yetu. Wote bado tunajifunza tu. Wengine kwa bado kwa sana, wengine tunajifunza bado hata kama tunakijua kuliko Waingereza wengi.

Rais Mwinyi alisema Kiingereza ni Kiswahili cha dunia.

Akimaanisha kwamba, kama Kiswahili kilivyo "lingua franca", lugha ya biashara, ya Tanzania na Afrika ya Mashariki, Kiingereza ni kugha ya biashara ya dunia.

Nchi yetu inaongeza watu kwa kasi kubwa kuliko inavyoongeza usomi.

Hivyo ni wazi kunaongezeka watu wengi sana wasiojua mambo ya msingi kabisa, hata matamshi, sarufi, herufi, nomino, nyambulisho, fasihi, hata kusima tu kwa ufasaha.

Hata hapa JF tu, napata tabu karibu kila siku, kwa sababu nakutana na watu wengi ambao inaonekana wazi kwamba hawajui kusoma kwa ufasaha na kufuatilia matiki ya lugha.

Hawajui. Ama hawafundishwi au hawafuatilii wao ni suala tofauti, lakini, inainekana tunazidisha idadi ya wajunga nchini. Sikusudii kuwatusi, lakini nakusudia kueleza ujunga kama ukisefu wa ujuzi wa jambo.

Hao waajiri oengine wanaoenda hao wasiojua mambo sana, kwa sababu hao ndio wasiojua kudai haki na mishahara, wanaojua mengi wanadai mengi.

Kwa hivyo, licha ya kwamba kuna wengi wenye kujua mengi, inawezekana wasiojua mengi wakachagukiwa jwa sababu ndio wanaokwenda na bajeti ya kubana matumizi.

Tunapenda zaidi kubana matumizi kuliko kufanya kitu vizuri hqlafu kikaleta ufanisi zaidi na kujenga biashara zaidi.

Mwishowe tunabana matumizi kijinga.

Unaajiri mtu asiyejua lugha, makampuni ya kutangaza biashara yanaona hufai kuoata matangazo. Unakosa biashara kwa kuonekana unabangaiza.

Wakati tofauti ya hela kidogo tu ya kumuajiri mtu anayejua kazi, ingekupeleka ufanye biashara za matangazo mpaka ya kimataifa.

Tunajifunga wenyewe kwa kukisa vision.

Halafu tunatafuta mchawi aliyeturoga na kutuweka kwenye umasikini.

unataka kumfurahisha nani !. kiswahili sina ajira nacho kama umeelewa pita huko .kachukue kiswahili kikulishe basi
 
Tafadhali Mzee wangu na Mmiliki wa Sibuka Media Dk. Nangale na Mkeo Doreen Nyange ( Boss Mwandamizi Sibuka Media ) mmekumbwa na nini Siku hizi hadi mnaajiri Watangazi wa hovyo hovyo na wanaotia Kichefuchefu kuwasikiliza kama huyu wa leo?

Nawaombeni hebu rejeeni Kukagua Academic Credentials za huyo Dada ( Mtangazaji ) wenu wa zamu na aliyesoma Vichwa vya Habari leo Ijumaa tarehe 30 Desemba 2022 kuanzia Saa 2 na Robo hadi Saa 2 na Nusu ili Mjiridhishe nae kama anastahili kuwa Mtangazaji.

Hivi Qualified and Professional Radio Presenter anaweza akawa kweli na Madhaifu haya yafuatayo kama aliyokuwa nayo Yeye leo akiwa anatusomea Vichwa vya Habari vya Magazeti?.

1. Ajari ya Preshisheni Hea
2. Kipa wa Simba SC Benyo Kakolanya
3. Kiungo wa Brazil Pele hafariki Dunia
4. Tanzania Prisons wahaidiwa Haadi wakiifunga Simba SC leo

GENTAMYCINE ningemsamehe ila alipokuja Kunikera zaidi ni pale alipoanza Kuinanga Kiaina Simba SC huku akisema Kimafumbo huku akicheka kuwa Wao ( akimaanisha Yanga SC yake ambayo hata Wewe Boss wake Dk. Nangale nakujua Unaishabikia ) wako ( mko ) juu Kileleni.

Tafadhali Mzee wangu Dk. Nangale na Mmiliki wa Sibuka Media na Mkeo Doreen Nyange hebu tafuteni Watangazi mahiri na siyo hawa Vichefuchefu na wasiojua hata kuficha Mahaba yao ya Kimpira kwa Vilabu vyao wanavyovishabikia.

Mwisho nimalizie kwa kutoa Wito kwa Vyuo vya Uandishi wa Habari Tanzania hebu jitahidini Kutuzalishia Watu ( Waandishi wa Habari ) walio Competent na siyo Vichefuchefu kama huyu ( huyo ) Dada kwani Wanaiabisha Tasnia yangu Mama, Pendwa na inayoheshimika sana hapa Duniani.

GENTAMYCINE ni kama Bahari huwa sikai na Uchafu hivyo lifanyieni Kazi hili kwa manufaa ya Redio yenu na Sisi Wasikilizaji ( Audiences ) wenu vinginevyo mtatupoteza na mtakosa hata Wadhamini ( Advertisers ) na mtaanza kumtafuta Mchawi na kukimbilia kusema Mmerogwa wakati kumbe Mmejiroga wenyewe kutokana na Mapungufu yenu ya Kimsingi.
Umemsagia kunguni
 
Simiyu ila kwa hapa Dar es Salaam wapo Mwenge Bamaga nyuma ya Hotel Maarufu ya aliyekuwa Hawara Mwandamizi ( Mpango wa Kando ) wa Aliyelala mazima Ziwa Victoria Mkoani Geita.
Nimecheka sana hii post eti Hawara mwandamizi ha ha
 
Chini ya uzi huu, JF imeniletea uzi mwingine.

Mtu kaandika kichwa cha uzi "Teknolojia hatari inayoogopwa na waharifu huko China".

Huyu ni mtu asiyejua tofauti ya "wahalifu" na "waharifu".

Zamani tulichekana kwa kutojua Kiingereza.

Tukaja kugundua ni vibaya kuchekana hivyo, kwa sababu Kiingereza si lugha yetu. Wote bado tunajifunza tu. Wengine kwa bado kwa sana, wengine tunajifunza bado hata kama tunakijua kuliko Waingereza wengi.

Rais Mwinyi alisema Kiingereza ni Kiswahili cha dunia.

Akimaanisha kwamba, kama Kiswahili kilivyo "lingua franca", lugha ya biashara, ya Tanzania na Afrika ya Mashariki, Kiingereza ni kugha ya biashara ya dunia.

Nchi yetu inaongeza watu kwa kasi kubwa kuliko inavyoongeza usomi.

Hivyo ni wazi kunaongezeka watu wengi sana wasiojua mambo ya msingi kabisa, hata matamshi, sarufi, herufi, nomino, nyambulisho, fasihi, hata kusima tu kwa ufasaha.

Hata hapa JF tu, napata tabu karibu kila siku, kwa sababu nakutana na watu wengi ambao inaonekana wazi kwamba hawajui kusoma kwa ufasaha na kufuatilia matiki ya lugha.

Hawajui. Ama hawafundishwi au hawafuatilii wao ni suala tofauti, lakini, inainekana tunazidisha idadi ya wajunga nchini. Sikusudii kuwatusi, lakini nakusudia kueleza ujunga kama ukisefu wa ujuzi wa jambo.

Hao waajiri oengine wanaoenda hao wasiojua mambo sana, kwa sababu hao ndio wasiojua kudai haki na mishahara, wanaojua mengi wanadai mengi.

Kwa hivyo, licha ya kwamba kuna wengi wenye kujua mengi, inawezekana wasiojua mengi wakachagukiwa jwa sababu ndio wanaokwenda na bajeti ya kubana matumizi.

Tunapenda zaidi kubana matumizi kuliko kufanya kitu vizuri hqlafu kikaleta ufanisi zaidi na kujenga biashara zaidi.

Mwishowe tunabana matumizi kijinga.

Unaajiri mtu asiyejua lugha, makampuni ya kutangaza biashara yanaona hufai kuoata matangazo. Unakosa biashara kwa kuonekana unabangaiza.

Wakati tofauti ya hela kidogo tu ya kumuajiri mtu anayejua kazi, ingekupeleka ufanye biashara za matangazo mpaka ya kimataifa.

Tunajifunga wenyewe kwa kukisa vision.

Halafu tunatafuta mchawi aliyeturoga na kutuweka kwenye umasikini.

kuna wajinga kama nyie .lugha unataka tunyooke imekusaidia nini hata masaki ijawahi kutumika.
 
Vituko ni vingi redioni na televisheni, hata kwenye redio na televisheni maarufu watangazaji wanakosea kutamka maneno au majina. Ni uzembe na uvivu wa hali ya juu kwa mtangazaji kutamka kimakosa maneno wakati kuna msaada tele upo kwenye kamusi vitabuni na kwenye kompyuta na simu. Watangazaji wanatakiwa wawe wadadisi wa lugha nyingi kujua kutamka majina yao kwa ufasaha, hasa hawa wa vipindi vya michezo. Anakuja mchezaji wa kigeni au kocha wanashindwa kutamka jina lake kwa usahihi.
 
Tupo wengi sana tunaosikiliza redio hasa vipindi muhimu kama amka na bbc dira ya dunia mchana na jioni na makala zenye kuelimisha japo media nyingi watangazaji hawana utashi wa kuleta habari sikuhizi ni kutangaza kamari tu
Umepata wapi muda huu wa Kumjibu na hadi Kumuelimisha huyo Mpumbavu?

Cc: kitalembwa
 
Miaka 10 ijayo hakutakua na lugha ya Kiswahili
Ninachoshangaa na Kukushangaa Wewe hunipendi kabisa GENTAMYCINE lakini umekuwa Mmoja wa Watu ambao uwepo hapa JamiiForums haunogi na haukamiliki mpaka Usome Mada ( Threads ) zangu.

Asante Mungu kwa Karama Uliyonipa.
 
Tafadhali Mzee wangu na Mmiliki wa Sibuka Media Dk. Nangale na Mkeo Doreen Nyange ( Boss Mwandamizi Sibuka Media ) mmekumbwa na nini Siku hizi hadi mnaajiri Watangazi wa hovyo hovyo na wanaotia Kichefuchefu kuwasikiliza kama huyu wa leo?

Nawaombeni hebu rejeeni Kukagua Academic Credentials za huyo Dada ( Mtangazaji ) wenu wa zamu na aliyesoma Vichwa vya Habari leo Ijumaa tarehe 30 Desemba 2022 kuanzia Saa 2 na Robo hadi Saa 2 na Nusu ili Mjiridhishe nae kama anastahili kuwa Mtangazaji.

Hivi Qualified and Professional Radio Presenter anaweza akawa kweli na Madhaifu haya yafuatayo kama aliyokuwa nayo Yeye leo akiwa anatusomea Vichwa vya Habari vya Magazeti?.

1. Ajari ya Preshisheni Hea
2. Kipa wa Simba SC Benyo Kakolanya
3. Kiungo wa Brazil Pele hafariki Dunia
4. Tanzania Prisons wahaidiwa Haadi wakiifunga Simba SC leo

GENTAMYCINE ningemsamehe ila alipokuja Kunikera zaidi ni pale alipoanza Kuinanga Kiaina Simba SC huku akisema Kimafumbo huku akicheka kuwa Wao ( akimaanisha Yanga SC yake ambayo hata Wewe Boss wake Dk. Nangale nakujua Unaishabikia ) wako ( mko ) juu Kileleni.

Tafadhali Mzee wangu Dk. Nangale na Mmiliki wa Sibuka Media na Mkeo Doreen Nyange hebu tafuteni Watangazi mahiri na siyo hawa Vichefuchefu na wasiojua hata kuficha Mahaba yao ya Kimpira kwa Vilabu vyao wanavyovishabikia.

Mwisho nimalizie kwa kutoa Wito kwa Vyuo vya Uandishi wa Habari Tanzania hebu jitahidini Kutuzalishia Watu ( Waandishi wa Habari ) walio Competent na siyo Vichefuchefu kama huyu ( huyo ) Dada kwani Wanaiabisha Tasnia yangu Mama, Pendwa na inayoheshimika sana hapa Duniani.

GENTAMYCINE ni kama Bahari huwa sikai na Uchafu hivyo lifanyieni Kazi hili kwa manufaa ya Redio yenu na Sisi Wasikilizaji ( Audiences ) wenu vinginevyo mtatupoteza na mtakosa hata Wadhamini ( Advertisers ) na mtaanza kumtafuta Mchawi na kukimbilia kusema Mmerogwa wakati kumbe Mmejiroga wenyewe kutokana na Mapungufu yenu ya Kimsingi.
Nilijisikia vibaya Jumapili iliyopita kanisani pale msomaji Aliposoma malahika badala ya malaika.

Kuna hawa wa a,e,i,o,u badala ya h mfano (hajafika - ajafika) na kinyume chake mf. Hapa - apa.

Na wale wanaochanganya l na r
 
Watangazaji aina hii wapo wengi, inashangaza walisoma shule zipi ambazo hazifundishi kiswahili. Au walimu wao wa kiswahili hawakufundisha jinsi ya kuandika na kutamka maneno ya kiswahili kwa ufasaha. Kiswahili wanakosea, kiingereza ndiyo vituko zaidi. Kifaransa ndiyo vioja vikubwa, majina ya kifaransa wanayatamka kiingereza kilichokosewa. Wachambuzi wa soka nao wameungana na hao watangazaji kuharibu lugha fasaha. Shule zipo wakasome ili wafanye kazi zao kwa weledi na umahiri
 
Tafadhali Mzee wangu na Mmiliki wa Sibuka Media Dk. Nangale na Mkeo Doreen Nyange ( Boss Mwandamizi Sibuka Media ) mmekumbwa na nini Siku hizi hadi mnaajiri Watangazi wa hovyo hovyo na wanaotia Kichefuchefu kuwasikiliza kama huyu wa leo?

Nawaombeni hebu rejeeni Kukagua Academic Credentials za huyo Dada ( Mtangazaji ) wenu wa zamu na aliyesoma Vichwa vya Habari leo Ijumaa tarehe 30 Desemba 2022 kuanzia Saa 2 na Robo hadi Saa 2 na Nusu ili Mjiridhishe nae kama anastahili kuwa Mtangazaji.

Hivi Qualified and Professional Radio Presenter anaweza akawa kweli na Madhaifu haya yafuatayo kama aliyokuwa nayo Yeye leo akiwa anatusomea Vichwa vya Habari vya Magazeti?.

1. Ajari ya Preshisheni Hea
2. Kipa wa Simba SC Benyo Kakolanya
3. Kiungo wa Brazil Pele hafariki Dunia
4. Tanzania Prisons wahaidiwa Haadi wakiifunga Simba SC leo

GENTAMYCINE ningemsamehe ila alipokuja Kunikera zaidi ni pale alipoanza Kuinanga Kiaina Simba SC huku akisema Kimafumbo huku akicheka kuwa Wao ( akimaanisha Yanga SC yake ambayo hata Wewe Boss wake Dk. Nangale nakujua Unaishabikia ) wako ( mko ) juu Kileleni.

Tafadhali Mzee wangu Dk. Nangale na Mmiliki wa Sibuka Media na Mkeo Doreen Nyange hebu tafuteni Watangazi mahiri na siyo hawa Vichefuchefu na wasiojua hata kuficha Mahaba yao ya Kimpira kwa Vilabu vyao wanavyovishabikia.

Mwisho nimalizie kwa kutoa Wito kwa Vyuo vya Uandishi wa Habari Tanzania hebu jitahidini Kutuzalishia Watu ( Waandishi wa Habari ) walio Competent na siyo Vichefuchefu kama huyu ( huyo ) Dada kwani Wanaiabisha Tasnia yangu Mama, Pendwa na inayoheshimika sana hapa Duniani.

GENTAMYCINE ni kama Bahari huwa sikai na Uchafu hivyo lifanyieni Kazi hili kwa manufaa ya Redio yenu na Sisi Wasikilizaji ( Audiences ) wenu vinginevyo mtatupoteza na mtakosa hata Wadhamini ( Advertisers ) na mtaanza kumtafuta Mchawi na kukimbilia kusema Mmerogwa wakati kumbe Mmejiroga wenyewe kutokana na Mapungufu yenu ya Kimsingi.
Punguza Makasiriko Mkuu
Utakufa kabla ya siku zako
 
😂😂😂😂😂 Ndio maana unaweza kuwahandle watu humu 😂😂😂😂😂
Angekuwa anawamudu wababe wa humu jukwaani, nikiwemo mimi hapa mbabe wake namba 1 kabisa kuwahi kutokea hapa duniani; Tate Mkuu, asingetukana watu hovyo.

Huyu Popoma wenu siku zote huwaonea watu wanyonge, akiwemo huyo mtangazaji wake wa Sibuka.

Ila siyo wababe kama mimi Tate Mkuu, na wababe wengine kama Nifah , ukikaidi utapigwa2, Matola, LIKUD, vibertz, OKW BOBAN SUNZU, na wengineo wengi.
 
Back
Top Bottom