Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Uchawa ni kitu kibaya sanaKatika kazi ambazo ukifanya kosa kiduchu tu linajulikana dunia mzima basi ni media hasa radio na Television.
Ndani ya chombo kama TBC mtangazaji akijisahau kidogo na kupotosha umma anakuwa ameliaibisha shirika mojakwa moja.
Kuna kipindi kuna mtangazaji mmoja alitutangazia kuwa Rais wa Marekani wakati huo Donald Trump amemtumia salaam za pongezi Rais wa Tanzania kipindi hicho ndugu Magufuli.
Jana tena kuna mtangazaji wa kituo hicho hicho anatwambia kuwa meli ya MV Mwanza itakuwa inafanya safari za kwenda Burundi,Rwanda,DRC na Sudan ya Kusini.
Haya ni maajabu ya dunia.
Ebu msikilizeni waungwana.View attachment 2949022
Ukweli na uhakika, nawashukuru tbc kwa kurusha live cafclKatika kazi ambazo ukifanya kosa kiduchu tu linajulikana dunia mzima basi ni media hasa radio na Television.
Ndani ya chombo kama TBC mtangazaji akijisahau kidogo na kupotosha umma anakuwa ameliaibisha shirika mojakwa moja.
Kuna kipindi kuna mtangazaji mmoja alitutangazia kuwa Rais wa Marekani wakati huo Donald Trump amemtumia salaam za pongezi Rais wa Tanzania kipindi hicho ndugu Magufuli.
Jana tena kuna mtangazaji wa kituo hicho hicho anatwambia kuwa meli ya MV Mwanza itakuwa inafanya safari za kwenda Burundi,Rwanda,DRC na Sudan ya Kusini.
Haya ni maajabu ya dunia.
Ebu msikilizeni waungwana.View attachment 2949022
anaitwa nani🐒Katika kazi ambazo ukifanya kosa kiduchu tu linajulikana dunia mzima basi ni media hasa radio na Television.
Ndani ya chombo kama TBC mtangazaji akijisahau kidogo na kupotosha umma anakuwa ameliaibisha shirika mojakwa moja.
Kuna kipindi kuna mtangazaji mmoja alitutangazia kuwa Rais wa Marekani wakati huo Donald Trump amemtumia salaam za pongezi Rais wa Tanzania kipindi hicho ndugu Magufuli.
Jana tena kuna mtangazaji wa kituo hicho hicho anatwambia kuwa meli ya MV Mwanza itakuwa inafanya safari za kwenda Burundi,Rwanda,DRC na Sudan ya Kusini.
Haya ni maajabu ya dunia.
Ebu msikilizeni waungwana.View attachment 2949022
Aibu sana kwa taifaAthari za uchawaaaaaaa
Wamerusha lini mzee?Ukweli na uhakika, nawashukuru tbc kwa kurusha live cafcl
Hao ndiyo aina ya watangazaji wanao waajiriina maana hana elimu ya jiografia na sayansi ya kuelewa kuwa meli haitembei nchi kavu ?
Aibu tupuWaandishi watangazaji wengi sahvi ni zero kichwani
Ova
Jana tumecheki game, na leo wanaweka tena, japo kuna watu wanalalamika quality, ila safi tu kwa mtazamo wanguWamerusha lini mzee?
Siku ya game kati ya SA na Nigeria walikuwa wanakomaa kumtaja VICTOR BONIPHACE wakati jamaa hakuitwa kwenye timu kutokana na majeraha aliyonayo mpaka sasa.Katika kazi ambazo ukifanya kosa kiduchu tu linajulikana dunia mzima basi ni media hasa radio na Television.
Ndani ya chombo kama TBC mtangazaji akijisahau kidogo na kupotosha umma anakuwa ameliaibisha shirika mojakwa moja.
Kuna kipindi kuna mtangazaji mmoja alitutangazia kuwa Rais wa Marekani wakati huo Donald Trump amemtumia salaam za pongezi Rais wa Tanzania kipindi hicho ndugu Magufuli.
Jana tena kuna mtangazaji wa kituo hicho hicho anatwambia kuwa meli ya MV Mwanza itakuwa inafanya safari za kwenda Burundi,Rwanda,DRC na Sudan ya Kusini.
Haya ni maajabu ya dunia.
Ebu msikilizeni waungwana.View attachment 2949022
Kwahiyo mkurugenzi ndiyo alimpa taarifa kuwa meli inaruka Kama ndege au kutembea Kama gari ?Katika kazi ambazo ukifanya kosa kiduchu tu linajulikana dunia mzima basi ni media hasa radio na Television.
Ndani ya chombo kama TBC mtangazaji akijisahau kidogo na kupotosha umma anakuwa ameliaibisha shirika mojakwa moja.
Kuna kipindi kuna mtangazaji mmoja alitutangazia kuwa Rais wa Marekani wakati huo Donald Trump amemtumia salaam za pongezi Rais wa Tanzania kipindi hicho ndugu Magufuli.
Jana tena kuna mtangazaji wa kituo hicho hicho anatwambia kuwa meli ya MV Mwanza itakuwa inafanya safari za kwenda Burundi,Rwanda,DRC na Sudan ya Kusini.
Haya ni maajabu ya dunia.
Ebu msikilizeni waungwana.View attachment 2949022
Kwani hili tukio ni la liniTBC wamewaskia tayari watu wamepigwa kalamu
2017?TBC wamewaskia tayari watu wamepigwa kalamu