Mtangazaji wa TBC 1 anasema meli ya MV Mwanza itapiga route ikiwa ziwa Victoria kwenda Sudani Kusini, Burundi, Zambia Congo na Malawi

Status
Not open for further replies.
Jana nimesikia mtangazaji Clouds Fm akisema YUda Iskarioti alikuwa ni kaka wa Yesu ila alimsaliti, nkasema kumekucha.

Simlaumu sana sababu kamchanganya Yuda Iskarioti na Yuda aliyekuwa mtoto wa Yusufu baba mlezi wa Yesu.

Ila asingesisitiza sasa kama anauhakika vile.
 
Katika kazi ambazo ukifanya kosa kiduchu tu linajulikana dunia mzima basi ni media hasa radio na Television.

Ndani ya chombo kama TBC mtangazaji akijisahau kidogo na kupotosha umma anakuwa ameliaibisha shirika mojakwa moja.

Kuna kipindi kuna mtangazaji mmoja alitutangazia kuwa Rais wa Marekani wakati huo Donald Trump amemtumia salaam za pongezi Rais wa Tanzania kipindi hicho ndugu Magufuli.

Jana tena kuna mtangazaji wa kituo hicho hicho anatwambia kuwa meli ya MV Mwanza itakuwa inafanya safari za kwenda Burundi,Rwanda,DRC na Sudan ya Kusini.

Haya ni maajabu ya dunia.

Ebu msikilizeni waungwana.
 
Ebu msikilizeni waungwana.View attachment 2949022
Uchawa ni kitu kibaya sana
 
Ukweli na uhakika, nawashukuru tbc kwa kurusha live cafcl
 
anaitwa nani🐒
 
Siku ya game kati ya SA na Nigeria walikuwa wanakomaa kumtaja VICTOR BONIPHACE wakati jamaa hakuitwa kwenye timu kutokana na majeraha aliyonayo mpaka sasa.

Wamekomaa weee mpaka match inaisha wanakomaa tu Victor Boniphace anaangushwa ndani ya box baada ya kugusa mpira kwa mara ya kwanza akitokea benchi.

Kipindi cha matuta nacho wanaendelea tu Victor Boniphace anafunga penalty ya nne hapa.
Walinihudhi sana.
 
Katika kazi ambazo ukifanya kosa kiduchu tu linajulikana dunia mzima basi ni media hasa radio na Television.

Ndani ya chombo kama TBC mtangazaji akijisahau kidogo na kupotosha umma anakuwa ameliaibisha shirika mojakwa moja.

Kuna kipindi kuna mtangazaji mmoja alitutangazia kuwa Rais wa Marekani wakati huo Donald Trump amemtumia salaam za pongezi Rais wa Tanzania kipindi hicho ndugu Magufuli.

Jana tena kuna mtangazaji wa kituo hicho hicho anatwambia kuwa meli ya MV Mwanza itakuwa inafanya safari za kwenda Burundi,Rwanda,DRC na Sudan ya Kusini.

Haya ni maajabu ya dunia.

Ebu msikilizeni waungwana.View attachment 2949022
Kwahiyo mkurugenzi ndiyo alimpa taarifa kuwa meli inaruka Kama ndege au kutembea Kama gari ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom