Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Jana nimesikia mtangazaji Clouds Fm akisema YUda Iskarioti alikuwa ni kaka wa Yesu ila alimsaliti, nkasema kumekucha.
Simlaumu sana sababu kamchanganya Yuda Iskarioti na Yuda aliyekuwa mtoto wa Yusufu baba mlezi wa Yesu.
Ila asingesisitiza sasa kama anauhakika vile.