Kertel
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 5,425
- 5,227
2017TBC wamewaskia tayari watu wamepigwa kalamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2017TBC wamewaskia tayari watu wamepigwa kalamu
Hiyo meli itakuwa na matairi usihofu.View attachment 2948865
Sitaki niongee mengi nishasema watanzania wengi hasa kwenye kada ya uandishi wa habari miaka ya 2000+ ni hopeless na vilaza wa kutupwa sijui journalism gani hawajui hata Geography ya Primary na O level.
Kama mnauzinduzi wa MV Mwanza basi vilaza wenu washaropokwa huko.
Endeleeni na vilaza kwenye vyombo vya umma.
Ni hayo tu.
Wadiz.
Iingiliwe mara ngapiTanzania eeeehh!... Nchi yangu oooh!
Huyo ni mtangazaji wa Television ya Taifa! Ukweli na uwazi!
Taaluma ya habari imeingiliwa!
Hatari kaka. Jitu kama hili likiambiwa litangaze kuwa mikutano ya vyama vya siasa italeta vita linatangaza TU bila kuwaza mara mbili.Kama tunadanganywa kwenye mamboo ya wazi namna hii vipi huko kwenye mafail maofisini
😂😂😂😂Hiyo meli itakua inayo matairi.
Hahahaaa. Mkuu; au Ikifika mahali inatumia magurudumu au inaota mbawa na kuruka angani. Kazi tunayo aisee. Labda alitaka kusema kutakuwepo na bandari ya nchi kavu na abiria na mizigo yao watafikia/watashukia hapo kwa kupelekwa kwa magari?Sudani Kusin > Burundi > Zambia > Congo na Malawi, 🤒🤒🤒.
Huwezi jua labda Ramani imebadilika 😁😁.
😀😀😀, kama waandishi wenyewe ndo Hawa, Sishangai sana siku ile saa100 akiwa live kutangaza kifo cha mzee mwinyi.Hahahaaa. Mkuu; au Ikifika mahali inatumia magurudumu au inaota mbawa na kuruka angani. Kazi tunayo aisee. Labda alitaka kusema kutakuwepo na bandari ya nchi kavu na abiria na mizigo yao watafikia/watashukia hapo kwa kupelekwa kwa magari?
🤣Hatari kaka. Jitu kama hili likiambiwa litangaze kuwa mikutano ya vyama vya siasa italeta vita linatangaza TU bila kuwaza mara mbili.
Halafu muda mfupi anapigwa uteuziHapo anaongea yote hayo kuonesha serikali ya CCM inaupiga mwingi.
Huyu mtangazaji bila shaka ameathiriwa na imani za kichawi. Anadhani hii ni meli ya kichawa inayoweza kupita mahali popote, hata angani.ina maana hana elimu ya jiografia na sayansi ya kuelewa kuwa meli haitembei nchi kavu ?
Ile ya 2017 ilikuwa inahusu "Trump kumpongeza Magufuli" mkuu. Wewe ndiye muongo.Mleta uzi ni muongo hii ilitokea 2017 na barua ya kusimamishwa kazi ipo ilisainiwa 2017
Huyo mtangazaji hajadanganya hata kidogo, ameonyesha tu uwezo wake duni kulingana na kazi aliyopewa.Kama tunadanganywa kwenye mamboo ya wazi namna hii vipi huko kwenye mafail maofisini
😄 🤣 😂 😆 😄Tunamshukuru mama kwa kutuletea meli ya kisasa inayosafiri majini na nchi kavu.