Mkurugenzi Mkuu Dkt. Ayub Rioba anasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu, Mwandishi wa Habari Elisha Elia, kilichotokea tarehe 24/10/2020 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Yani walosema kufika sijui mwaka gani waandishi wawe na degree waliona mbali. Slow down mzee unapoingia barabara kuu, embu tuambie nini kimetokea kupelekea kifo chake R.I.P mwandishi