The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Nakumbuka alikuwa anaitwa konswelo something like that. Kulikuwa na ka instrumental music flan kila the Gardner akikutana na yule mmama.Ilikuwa nzur sana ile yule ant ake yule bint alikuwa na roho mbaya sana yule alikufa kwa ajar kitu kama gar ililipuka unakumbuka š¤£zaman sana hiyo
R. IP bro Elisha