TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

[emoji23]nimecheka sana aise,sikujua mkuu,alafu nasikia huwa majamaa ya tiba asilia za uzazi wa kina mama yanapata sana mechi za urafiki,
Hilo sina uakika nao siendagi nawaonaga wezi. Ila nalo linawezekana. Si kama waganga tu, ukiona mwanamke anapenda kwenda kwa mganga sio salama maana kuna siku mganga ata sema hii dawa inabidi iweke na mme asiokuwa wako.
Wanawake wenzangu tuwe makini.
 
Mkuu nakushhauri tabia ya kutaka kujua chhanzo cha kifo cha mtu sio jambo poa

Chamaingi tia DUHAA

Unakosea sana ssna,Nina Hakika wewe unajua na sasa hutaki wengine wajue....Watu wanataka kujifunza au kuchukua Taadhari either ni Mwenda Mkali wa Gari,Ugonjwa gani,Sasa wewe unaficha...Umenikwaza Kwa Kweli...
 
Pole sana kwa kukwazika..... Ila kumbuka siri ya kata aijuaye ni mbebaji
 
Aisee jamaa moto ndio umemuondoa hkna kuvunga vunga period

Kama ni hivyo Mbona Kuna watu wanaishi nao Miaka hadi 20,22,25na Kuendelea?
Natumaini yeye ni Kijana Mdogo hata miaka 40alikuwa hajatimiza sasa mbona umemchukua haraka sanaa?
Au alikuwa hatumii dawa?
 
R.i.p. the best talent man............ Magufuriiii anapita kwa asilimia 90% .
 
Kama ni hivyo Mbona Kuna watu wanaishi nao Miaka hadi 20,22,25na Kuendelea?
Natumaini yeye ni Kijana Mdogo hata miaka 40alikuwa hajatimiza sasa mbona umemchukua haraka sanaa?
Au alikuwa hatumii dawa?

Siku hizi wasiotumia dawa na kinga ni wengi kuliko unavyofikiri..miaka ya hivi karibuni wanahabari na wabongo fleva wengi wameondoka kimasihara masihara huwezi amini..yaani nowadays UKIMWI tunauchukulia poa sana! Nadhani tatizo pia hata matangazo kuhusu UKIMWI hayatishi nowadays tofauti na zamani..yaani unaweza sikia tangazo redioni mtu anatangaza ana UKIMWI huku anacheka utadhani ameshinda medali!
 
Mkuuuu shukran za dhati na ubarikiwe mkuu wangu. Yani Asante sana am overwhelmed with gratitude. Ndiyo yenyewe mkuu. For years have bn trying to search for the. So much.

JF kuna watu kila unachotaka unapata

Ilikuwa nzur sana ile yule ant ake yule bint alikuwa na roho mbaya sana yule alikufa kwa ajar kitu kama gar ililipuka unakumbuka 🤣zaman sana hiyo
 
Back
Top Bottom