TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

Kuna yule jamaa wa habari za biashara....ashukuru Mungu tu anaruhusiwa kuvaa yale makoti

Hatumuombea mabaya lakini.....
Huyu hata mm nilishtuka kuna kipindi alipungua ghafla kuna rfk yetu alikua anafanya hapo tbc tukamuuliza mbona hivyo? na yy hakujibu lolote
 
Ni kweli
Comments zinaashiria kuna mgawanyiko mkubwa kuliko tunavyodhani
Kuna historia ya marehemu inaongelewa humu nusu nusu mara ex mume mara akina Lutengano mara akina Rehema sijui wave ya pili etc....

Apumzike kwa Amani
Acha tumalizie kulikomboa Taifa
Umoja utarejea kupitia Lissu
Tunagawanywa kwa mengi.
Kuna waliovunjiwa nyumba zao Gongo la Mboto kisa walimchagua mchadema na kumbe Ni mlevi akaja akawageuka huku washavunjiwa yeye akawa waziri.
Kuna waliovunjiwa nyumba zao kwa kudhaniwa wachaga au kumchagua mchadema. Kuna wale wa Mwanza hawawezi kuvunjiwa kisa walichagua kuchechemea.
 
Alikimudu kipindi cha TUNATEKELEZA,ila kazi ya kuzunguruka maeneo tofauti yenye hali ya hewa tofauti inahitaji mwili uwe na immunity ngangari
Kama Kuna Jambo jema umelitenda. Kuna haja ya kupiga tarumbeta kwamba umefanya Jambo jema? Si watu wataliona. Sasa inamaana gani kuzunguka mikoa yote kwa kutumia Kodi za watu kuwaambia.
 
Ninadhan ninaweza kukubaliana na wewe kwa upande w elisha..kuna wakat alipoteza dira kabisa alikua mlevi kupindukia na kazini pia aliacha kuja kabisa..wakat huo alikua anahusishwa na mama mmoja hivi wazir wa enz..baadae sana ndhan baaada y canceling ya kutosha ndiyo akawa tena vizuri...

Na kipindi hiki ndiyo alikua anajiweka viziri kuitafuta nyota yake ila bahat mbaya ugonjwa uliomuua umemuua..so so sad kwa familia ya elia watoto wake wawil vanesa na lugano..pole kwao bado wanahitaji mapenzi yake hasa ukizingatia ni single futher..
Inaonekana unamjua zaidi. Apumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom