TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

maombi y a kumfukuza huyo israili mtoa roho kwani amewamaliza watangazaji wazuri na kuyabakisha Yale yanayosifia ccm 24/7!

Kwani Elisha Elia alikuwa haisifii CCM masaa 24?

Marekani kuna chombo kinaitwa FOX NEWS, kinasifia Trump masaa 24. Tanzania kuna TANZANIA DAIMA kinasifia upinzani muda wote, kuna TANZANITE linasifia serikali muda wote. Radio Maria FM inamsifia Bwana Masiha kutwa kucha, Radio Imani inamsifia Bwana Mtume muda wote.

Vyoote hivi hakiendeshwi kwa kodi ya umma. Hilo ndio tatizo la TBC.

Elisha Elia alikua uso wa TBC. Watu hawawezi kusikitika.
 
Yaani waliosema kufika sijui mwaka gani waandishi wawe na degree waliona mbali. Slow down mzee unapoingia barabara kuu, embu tuambie nini kimetokea kupelekea kifo chake. R.I.P mwandishi
Ni siri ya familia. Nenda kahudhurie msiba utayajua maradhi yake wakati wa kusoma wasia wake.
 
Relax, watu tunakunywa bia tu polepole hapa, huwezi kunilazimisha nisikitike wakati nina furaha katika hilo
Maneno huumba.
Yule atakafakariye yale yaliyotoka moyoni mwako, hakika umejiwekea akiba.
Lakini tumeaswa na vitabu vitakatifu kuvumilia maana Yeye Muumba ni moto ulao, na huangamiza wenye hila na uadui.
Na hufanya hivyo kwa wakati wake, hachelewi wala hawahi!
 
Kuna pini moja tbc ipo white hv halafu tall kiaina huwa ionaga ikitangaza aridhio sjui ndio taarifa ya habari ya sku hizi jina nimelisahau

Dah ile manzi ikikata moto nitagalagala kama jiwe anavyo galagala kuomba kura.
Imeolewa ile mkuu....kipind niko chuo mwaka wa kwanza ilikua mwaka wa pili nadhan au wa3...hakuaga vile...alikua mtoto m1 malaika..yaan anavaa magaun marefu makubwaa...
 
Maneno huumba.
Yule atakafakariye yale yaliyotoka moyoni mwako, hakika umejiwekea akiba.
Lakini tumeaswa na vitabu vitakatifu kuvumilia maana Yeye Muumba ni moto ulao, na huangamiza wenye hila na uadui.
Na hufanya hivyo kwa wakati wake, hachelewi wala hawahi!
Wacha kuniletea upoyoyo wako hapo esopoooo! Jiwe linajidaigi kusema "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu" hapo hapo linahudhuria kanisani na sakramenti linashiriki lakini bado linateka watu, linaua! Mimi ni nani hata nisinywe bia pale anapofariki mmoja wa washiriki uovu??
Weiiiitaaaaaa leta kitimoto
 
Inaelekea unaifahamu/unamfahamu vema. Tatizo ni nini? single father? what happened akawa single father? Waziri wa enzi? nitonei inbox basi..
Ninamfaham..itoshe kusema aliachana na mke wake baadae akazaa na mwanamke mwingine....na alikua akiishi kwao hadi anaaga dunia
 
R.i.p Elisha japo ulikua tbccm ila ulijitahidi kubalance shobo sio kama waliobaki, hii ni second wave ya changamoto ya upumuaji, tuwe makini tuendelee kunawa mikono na social distancing japo hapa kwetu yule tyrant anadai imeisha kwa kufunga na kupiga nyungu
Nakumbuka aliwekwa karantin karibu miez mitatu kule babati...
 
Kabisa Kabisa... Naunga mkono.. Hapo TBC kuna ziraeli mtoa roho aisee..
Hapo Tbc Pana makazi ya kudumu ya malaika mtoa roho! Watu wa Mungu nendeni mkashushe maombi y a kumfukuza huyo israili mtoa roho kwani amewamaliza watangazaji wazuri na kuyabakisha Yale yanayosifia ccm 24/7! Anyway, watajuana wenyewe kwani wamegeuka wasifiaji badala ya wahabarishaji!
 
Back
Top Bottom