sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Ukiona hivyo ujue watu wana stress mbaya. Mtu wenye furaha na amani hawezi kuwaza hivyo.Tz tumefikia pabaya sana, kifo cha mtu tunachanganya na misiasa yetu uchwara.......inatia kinyaa unaposoma comments.
Rip double E