tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Maana yake?Hilo sio jina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yake?Hilo sio jina
Sawa na msukuma anajiita ngoshaSawa na mmasai ajiite Laigwanaan/Laigwanani
Una mawazo kama yangu
Sasa kujulikana,maelfu ya watu kutoa pole ndo kunamfufua au ndo kunabadilisha nini ?.We are all the same when it comes do death maarufu or not,tajiri or maskini.
Hawajaweka wazi lakini katika baadhi ya ripoti zake za mwisho alikua anaonekana amepungua sana mwili.Alikuwa anaumwa nini? Mara nyingi chanzo cha kifo husemwa ila tuliobaki tujifunze kitu
Maisha ya mmoja yakipotea, maisha ya mwingine yanazaliwa...
Ukaghone malafyale Elisha!!!
Wanasemaga "misery likes misery"Ukiona hivyo ujue watu wana stress mbaya. Mtu wenye furaha na amani hawezi kuwaza hivyo.
@Bujibuji upo au ndo mwenyewe.Pole Buji ndugu zako wanapukutika!!!
Ukabila wako tu[emoji3]Mtawamaliza wanyakyusa TBC!!!
Tido alivoingia TBC aliwakuza na kuwapa isha Elisha Elia, marine h marine, dihaule, pendael Omar. Iyo 2006.
Kuna telenovela flan ilikuwa kali enz hizo watu tulifuatlia msaada WanaJamv jina ya iyo telenovela. Kuna binti alitoka familia ya kimaskin akasinginziwa akapelekwa jela baba yake alikuwa maskini Lakini alipendwa na mama flan tajiri yuko kwenye wheel chair. Hii tamthilia ilibamba vibaya sana enzi hizo tvt ilipobadilika tbc. Nikumbusheni jamani jina ya iyo tamthilia.
Halafu tido aliwanoa kweli kweli Akina Elia. Unakuta kwenye taarifa ya habari kama kuna tukio la mafuriko wanamuita mtaalamu wanamuhoji katikati ya habari wakimaliza wanaelewa.
Ama Elisha Elia anaweza kumtembela mtaalamu kama dk bana unamuona anakatiza hadi getini naakumhoj.
Nikumbusheni iyo tamthilia.
Rest in peace bro
Hukujua hizo ni hela zetu za vidonda vya tumbo, na lishe?
Tabia mbaya tu[emoji23]nimecheka sana aise,sikujua mkuu,alafu nasikia huwa majamaa ya tiba asilia za uzazi wa kina mama yanapata sana mechi za urafiki,
Tabia mbaya tu