TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

Tido alivoingia TBC aliwakuza na kuwapa isha Elisha Elia, marine h marine, dihaule, pendael Omar. Iyo 2006.

Kuna telenovela flan ilikuwa kali enz hizo watu tulifuatlia msaada WanaJamv jina ya iyo telenovela. Kuna binti alitoka familia ya kimaskin akasinginziwa akapelekwa jela baba yake alikuwa maskini Lakini alipendwa na mama flan tajiri yuko kwenye wheel chair. Hii tamthilia ilibamba vibaya sana enzi hizo tvt ilipobadilika tbc. Nikumbusheni jamani jina ya iyo tamthilia.

Halafu tido aliwanoa kweli kweli Akina Elia. Unakuta kwenye taarifa ya habari kama kuna tukio la mafuriko wanamuita mtaalamu wanamuhoji katikati ya habari wakimaliza wanaelewa.

Ama Elisha Elia anaweza kumtembela mtaalamu kama dk bana unamuona anakatiza hadi getini naakumhoj.

Nikumbusheni iyo tamthilia.

Rest in peace bro

Sio the gardener daughter nahis au nimekosea
 
Tuombe watafiti wafanikiwe kupata dawa ya

1) Cancer
2)Pressure Na
3)HIV/UKIMWI
Hiyo namba tatu hata kampeni zimepungua sana,watu full kutembelea ringi kumbe in ipo inasepa na watu balaa. Wengine wakiwa ni watu maarufu Na wakubwa kwenye nchi husika. Mfano Msanii nguli wa Nigeria Fella Kuti.

Genta
 
Back
Top Bottom