Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Sijaona ngoja nichekikama yako[emoji19],nimekutext toka asubuh hujibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaona ngoja nichekikama yako[emoji19],nimekutext toka asubuh hujibu
Sijaona ngoja nicheki
Mkuu nakushhauri tabia ya kutaka kujua chhanzo cha kifo cha mtu sio jambo poaHivi nini chanzo cha kifo chake ?
Aisee jamaa moto ndio umemuondoa hkna kuvunga vunga periodKampeni ya vita dhidi ya UKIMWI zianze upya...maana huu ugonjwa ni kama ndio umeingia nchini na hatuna taarifa nao kabisaa....nguvu kazi zinateketea tu dah!
Hilo sina uakika nao siendagi nawaonaga wezi. Ila nalo linawezekana. Si kama waganga tu, ukiona mwanamke anapenda kwenda kwa mganga sio salama maana kuna siku mganga ata sema hii dawa inabidi iweke na mme asiokuwa wako.[emoji23]nimecheka sana aise,sikujua mkuu,alafu nasikia huwa majamaa ya tiba asilia za uzazi wa kina mama yanapata sana mechi za urafiki,
Mkuu nakushhauri tabia ya kutaka kujua chhanzo cha kifo cha mtu sio jambo poa
Chamaingi tia DUHAA
Pole sana kwa kukwazika..... Ila kumbuka siri ya kata aijuaye ni mbebajiUnakosea sana ssna,Nina Hakika wewe unajua na sasa hutaki wengine wajue....Watu wanataka kujifunza au kuchukua Taadhari either ni Mwenda Mkali wa Gari,Ugonjwa gani,Sasa wewe unaficha...Umenikwaza Kwa Kweli...
Duh ! Iv kwann kila mwana habarinakitangulia m ele ya haki basi story za huu ugonjwa zina ibukaAisee jamaa moto ndio umemuondoa hkna kuvunga vunga period
Aisee jamaa moto ndio umemuondoa hkna kuvunga vunga period
Kama ni hivyo Mbona Kuna watu wanaishi nao Miaka hadi 20,22,25na Kuendelea?
Natumaini yeye ni Kijana Mdogo hata miaka 40alikuwa hajatimiza sasa mbona umemchukua haraka sanaa?
Au alikuwa hatumii dawa?
Mkuuuu shukran za dhati na ubarikiwe mkuu wangu. Yani Asante sana am overwhelmed with gratitude. Ndiyo yenyewe mkuu. For years have bn trying to search for the. So much.Sio the gardener daughter nahis au nimekosea
Mkuuuu shukran za dhati na ubarikiwe mkuu wangu. Yani Asante sana am overwhelmed with gratitude. Ndiyo yenyewe mkuu. For years have bn trying to search for the. So much.
JF kuna watu kila unachotaka unapata