TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

Ama hakika, binadamu si wa kudumu, tunaishi Kwa muda mfupi na tunatoweka na kuyeyuka kama upepo

Leo tupo, Kesho hatupo, Heri Yao Wafu wafao katika Bwana, Maana watauona Ufalme wa mbinguni

R.I.P
 
Huyu hapa APEPE


IMG-20201024-WA0067.jpg
 
Dah Elisha katangulia? Inasikitisha.

Nakumbuka alioa na kufanya harus na mtangazaji mwenzake hapo hapo tbc na walikuwa wakisoma taarifa pamoja enzi hizo tido yupo na tbc ilikuwa yenyewe.

Enzi hizo still a teenager mbioni kwenda Denmark. Nafika Denmark tu nasikia Rehema mwaka gale kafariki ITV

Rest in peace bro
Bro hebu fafanua hapo. Mkewe alikua Rehema Mwakangale?
 
Back
Top Bottom