TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

Dah Elisha katangulia? Inasikitisha.

Nakumbuka alioa na kufanya harus na mtangazaji mwenzake hapo hapo TBC na walikuwa wakisoma taarifa pamoja enzi hizo tido yupo na tbc ilikuwa yenyewe.

Enzi hizo still a teenager mbioni kwenda . Nafika k tu nasikia Rehema Mwakagale kafariki ITV

Rest in peace bro
 
Mwe pumzika kwa amani kaka Elisha na x-mume wa Kisa Mwaipyana wa channel ten hakika tutakukumbuka
 
Back
Top Bottom