TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

Viol

Katika Hali ya kibinadamu umejibu ovyo sana,,kea vyovyote binadamu ni binadamu tu hata awe kichwa anathamani kubwa,,kweli ndg umenishangaza sana nimewaza yafuatayo:

1. Juzi jioni nikiwa mkolani nilishuhudia ajali ambayo uliniacha nilikuuliza sana, Toyota premio iliyokuwa inatokea buhongwa ikaacha njia ni kuvaa watu waliokuwa wanauza pembeni ya barabara,,watu waliumia lakini hakuna mtu aliyepoteza maisha eneo la tukio mpaka mim naondoka...ni mita kama 4tu ajali ilipotokea.

2. jana saa 10 hiv jioni nikaona ambulance ya kituo cha nyakanazi hapo mkolani ukienda bugando,,nikajiuliza umbali wa nyakanazi Mwanza lakini watu wanapigania uhai wa ndg na jamaa yao.

3. Inawezekana hujawahi patwa na msiba wa ndg yako wa karibu hivo hujui maumivu ya kufiwa na mprndwa wako ambae ulizoea kuwa nae Kila wakati...akafumba macho jumla...siku ukifiwa kbs utaelewa na akili zitarudi.

4. Jifunze kuheshinu utu wa mtu,,kigo ni kigo tu kweli lakini fikiri Hawa watu walioachwa wakoje kwa sasa,,,yawezekana alikuwa baba wa familia sasa baba hayupo,,watoto unawaza watakuwaje...na mke wake.

Siasa isikukufanye uone watu ni nzi...ni hayo tu ndg....
 
Back
Top Bottom