Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,195
Wewemwenyewe unajichanganya kwenye maelezo yako umesema kwanini anapowapa gari awapewi na kadi hapo hapo unasema Tena kwanini anawanyan'ganya pindi anapotofautiana nao huoni Kama umeingia choo Cha kike?Rayvan alipewa gari
Harmonize alipewa
Zuchu kapewa
Lava lava kapewa
Mbosso kapewa
Uyo sjui cameraman kapewa
Zari alipewa
alipew
Tanasha alipewa
Swali. Inamaana mishahara wanayopewa huwa haiwatoshi hadi kusubiri huruma za boss wao
Kwann kwny hafla za kutoa gari haambatanishi na kadi?
Kwann huwanyang'anya hizo gari pnd wanapotofautiana..
Lugha nzuri ni kwamba wanaazimishwa, ukitofautiana nao wanachukua gari laoRayvan alipewa gari
Harmonize alipewa
Zuchu kapewa
Lava lava kapewa
Mbosso kapewa
Uyo sjui cameraman kapewa
Zari alipewa
alipew
Tanasha alipewa
Swali. Inamaana mishahara wanayopewa huwa haiwatoshi hadi kusubiri huruma za boss wao
Kwann kwny hafla za kutoa gari haambatanishi na kadi?
Kwann huwanyang'anya hizo gari pnd wanapotofautiana..
Hizo ndio zinitwa customer rentetion strategy wasafi number 1
- Kiki
- Promo
- Kutafuta public sympathy
🤣🤣🤣🤣🤣Numbisa ni zari
Mtangazaji wa Wasafi media aaliyah Mohamed azawadiwa gari na uongozi wake kwa kuonesha ufanisi mkubwa wa kazi.Ikumbukwe kuwa aaliyah ndiye mtangazaji wa kwanza kuajiliwa na Wasafi media na kabla ya hapo alikuwa anafanya kazi pale palipokuwa Ni office ya WCB label sinza .Baada ya kuonwa vizuri na boss wake Diamond kuwa na uwezo wa utangazaji pia na elimu ya utangazaji akaamua kumuamishia Wasafi media baada ya kufungua media.View attachment 1558573
Alimpaga pia video photographer wake luakambaDiamond anawatomba hawa watoto wazuri wazuri, mbona siku zote hagawi zawadi kwa wanaume? Labda yule mzee wa Marquiz band
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ale Chips yai,anywe pepsi na michemsho aongeze mahaga na msambwanda.
🤣🤣🤣🤣Shehe Kipozeo alishawahi kuwa mtangazaji wao hapo, lakini hawakumpa hata baiskeli. Waambieni waache upendeleo.
Wapenda kiki wale eti alisema hakulipenda kaagiza lingine! Ila na ndoa yake nayo imepoooooza utafikiri ilipata stroke siku ile ukumbini kulikoni??Kama kawaida ya kiki wachafu fc. Gari la esma harusini limeyeyuka
Acha wivuWapenda kiki wale eti alisema hakulipenda kaagiza lingine! Ila na ndoa yake nayo imepoooooza utafikiri ilipata stroke siku ile ukumbini kulikoni??
Wivu mke wa tatu au wivu gari kuzawadiwa??Acha wivu
Angekuwa wa kiume sawa lakini wa kike??Mtangazaji wa Wasafi media aaliyah Mohamed azawadiwa gari na uongozi wake kwa kuonesha ufanisi mkubwa wa kazi.Ikumbukwe kuwa aaliyah ndiye mtangazaji wa kwanza kuajiliwa na Wasafi media na kabla ya hapo alikuwa anafanya kazi pale palipokuwa Ni office ya WCB label sinza .Baada ya kuonwa vizuri na boss wake Diamond kuwa na uwezo wa utangazaji pia na elimu ya utangazaji akaamua kumuamishia Wasafi media baada ya kufungua media.View attachment 1558573
Unataka kuniambia hata luakamba ambaye Ni me naye kadinywa ndio akapewa gari na diamond?Angekuwa wa kiume sawa lakini wa kike??
Gari hivi hivi yaani hivi hivi!!!naomba niishie hapo