Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inavyoonesha fani yake ni mganga wa kienjeji na ungaliba bli utangazaji kafosi.
Inavyoonesha fani yake ni mganga wa kienjeji na ungaliba bli utangazaji kafosi.
kwani huwa anatangaza na tunguri shingoniInavyoonesha fani yake ni mganga wa kienjeji na ungaliba bli utangazaji kafosi.
Amani iwe nanyi wanajamii!
Kazungumzwa sana George Maratu wa ITV,vip kuhusu huyu jamaa wa kipindi cha zamadani pale TBC!? Mimi binafsi sielewi kuwa ni swaga au pozi kwenye kuongea kwake ila kwa kifupi hafurahishi kama alivyadhamiria! Ni mtazamo tu