Mtangazaji wa Zamadani-TBC

Mtangazaji wa Zamadani-TBC

jacjaz

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
440
Reaction score
208
Amani iwe nanyi wanajamii!
Kazungumzwa sana George Maratu wa ITV,vip kuhusu huyu jamaa wa kipindi cha zamadani pale TBC!? Mimi binafsi sielewi kuwa ni swaga au pozi kwenye kuongea kwake ila kwa kifupi hafurahishi kama alivyadhamiria! Ni mtazamo tu
 
Inavyoonesha fani yake ni mganga wa kienjeji na ungaliba bli utangazaji kafosi.
 
Jamani semeni yoooote lakini huyu kijana mimi huwa namzimia sana kwenye vipindi vya dini hususani akiwapo Kanisani na waimba Kwaya.
 
hizo ni swaga zake tu bana
kila mtu huwa na swaga zake
 
Ni kweli hana mvuto hata church, mbwembwe zake hazivutii zina boa sana.
 
Mlitaka a-copy kwa watangazaji wengine mnaowaita 'mahiri'.Ni style yake mumwache ataiboresha taratibu
 
Jamani igizo la Dou DOu na wakwe zake limeishia wapi nyie TBC?
 
Jamini ananata na kipindi chenyewe..ZAMADAMU..Akiitaji ujilaaaaambe lips had mate yakauke.
 
Back
Top Bottom