Gajungi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 257
- 83
Amepoteza credit ya watu kumtilia maanani,mbona mambo ya kupigwa risasi na makovu yake ameongelea,nadhani mambo ya tengua tengua ilipaswa inandaliwe press ya vyombo mbalimbali kisha wanatoa tamko,pale palikuwa ni kampeni tu,hakupaswa kuleta longolongo.mkubali tu mlikuwa na bad day today.matokeo yake mkapaniki hasira zote mkamalizia TBC.sasa ngoja uone amsha ya kesho Dodoma,ndio utaona tofauti.
Nasema masterminds wa CHADEMA waliokuwa wanafanya chama kionekane hawapo tena.
Watapata tabu sana kesho.