Uchaguzi 2020 Mtani wangu Tundu Lissu pokea huu 'Ukweli' wangu japo najua hujaambiwa na unaweza ukawauma Wakupendao

Nasema masterminds wa CHADEMA waliokuwa wanafanya chama kionekane hawapo tena.
Watapata tabu sana kesho.
 
Amepoteza kwa watesi wake lkn c kwa wananchi ..wengi bado wanapenda kusikia kutoka kwake ilikuwaje akashambuliwa ..kwenye hzo kura 8,000,000/= ujue chadema tutavuna kura. 3,000,000 kutoka ccm na ukijumlisha na zetu tutafikisha 15,000,000
 
Hivi mtu kama lissu ndio wa kutishiwa nyau ? kama magufuli alipata mil 3 unusu 2015 kabla hajaleta dhiki na utekaji , unadhani sasa anaweza kuipiku mil 10 aliyopata mgombea wa chadema 2015 ?

Kama umelipwa rudisha hela za watu
 
Una hakika wanataka kujua ilikuwaje akashambuliwa,nani asiyejua ilikuwaje akashambuliwa.ebu nikuulize mkurugenzi gani atatangaza chadema kupata kula mil 15,hata milioni 2 hakuna mkurugenzi atakayetangaza chadema kupata kura hizo.nani anawalipa mshahara NEC?[emoji23][emoji23][emoji2960][emoji2960]
 
Hivi mtu kama lissu ndio wa kutishiwa nyau ? kama magufuli alipata mil 3 unusu 2015 kabla hajaleta dhiki na utekaji , unadhani sasa anaweza kuipiku mil 10 aliyopata mgombea wa chadema 2015 ?

Kama umelipwa rudisha hela za watu
Sio watu wote wana dhiki,na sio watu wote wametekwa.
 
Kula ndiyo nini? Pumbavu kama Kiswahili tu Kinakushinda hivi badala ya Kuandika neno sahihi la 'Kura' Wewe unatuandikia 'Kula' Mimi utaniweza?
 
Kuna kizazi cha wapumbavu wengi sana vyuoni na mtaani mkuu. Narudi tena waalimu wanapata tabu sana.

Kiingereza sahihi kilitakiwa kiwe ' You have revealed the truth' na siyo hii yako ya 'You have reveal the truth' sawa? Hata hivyo bado nimekuelewa.
 
FACT.. hata yeye sijui ni lini alihakiki taarifa zake.. sina hakika kama anasifa za kupiga kura uchaguzi huu.
 
Lissu aangalie House of Card aone akina Kevin Spacey wanavyotumia kila hila na fursa kupata madaraka

Kibaya wazuri kutukana
 
Wafanyakazi wa serikalini hawazidi hata 800,000 (laki name) labda uongeze wa sekta binafsi na wenywe kiujumla haitakuwa zaidi 4,500,000 (milioni nne na nusu) halafu ujue kati ya hao wengine ni CCM kindakindaki hivyo kazi kubwa mno kwa upinzani.
 
Wewe ni mtoto wa nyoka na utaendelea kuwa nyoka tu.
Lissu atapata kura za wanaCCM haohao kwani nao washauchoka huu utawala wa Jinamizi
 
Hivi mtu kama lissu ndio wa kutishiwa nyau ? kama magufuli alipata mil 3 unusu 2015 kabla hajaleta dhiki na utekaji , unadhani sasa anaweza kuipiku mil 10 aliyopata mgombea wa chadema 2015 ?

Kama umelipwa rudisha hela za watu

kuna mda hua nawashangaa sana, hii mada ya lissu na magufuli ilitakiwa iwe ishaisha mda mrefu sana! huezi kumlinganisha mtu mwenye PHD na mtu mwenye diploma ya imla za sheria, there is no way lissu anaweza battle na magufuli because he is smart na sio kwamba tunawachukia ila penya ukweli tunasema!

kuna uwezekano hata cdm isje kuskia tena kwa sababu hamko serious, wewe haiwezekani useme kuna corona alafu uite mkutano, hujavaa barakoa na hufuati all necessary steps ni kwamba unajikanyaga, magu alisema hakuna corona na anasmamia, ina maana hakuna kuvaa mask na shuhuli ziendelee kama kawa, huu ndo uanaume sasa! ukiangalia hata taarifa za leo imefika stage watu wanaandamana kupinga utapeli wa corona, means magufuli is 1000 years ahead, haya mambo ya kuombea sjui risasi zmebaki mwilini ni maswala ya kuandika imla darasa la tatu , yaliotokea mbagala iwe fundisho
 
Agombeee bibi yako pengine atashinda,naona tu unamuwangia tundu lissu
 
Nchi hii bana kwa kweli Ina Mambo mengi sana na watu wa aina yake. NEC wanatuambia Kuna wapiga kura 29 milioni waliojiandikisha kupiga kura mwaka huu. CCM kwa mujibu wa pole pole inawanachama Kama 14 milioni, Je, hao 15 milioni ni akina nani?
NECCCM wanayo matokeo ya Urais tokea zamani wanatembea nayo mifukoni, kwa maana ingine ni kwamba uchaguzi ni bure tu, kwani iwe isiwe, CCM ichaguliwe na isichaguliwe watamtangaza mtukufu malaika tokea chato kuwa Rais, bila Tume huru ya uchaguzi ni vigumu kuzuia uchakachuaji wa Tumeccm milele.
 
Nini maana ya PHD tuanze kwanza na wewe isije ikawa wewe ndio kamishna wa vilaza
 
Usiwapangie chadema vya kusema waacha waongee vyao kwani nani alikutuma ukampige risasi Tundu lisu? Kama hukutaka aongelee maumivu yake ungeacha kumfanyia ushetani wako, kama huko CCM mna sera nzuri za maana si uende kuwaongezea maarifa huko waache kuwahujumu kuwadhoofisha chadema kuwabambikia kesi kuwapiga kuwafanyia kila baya wapinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…