Mtanzania Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi

Kwa Mujibu wa sheria ya uraia Tanzania, Mzanzibari ni Mtanzania na kwa mujibu wa sheria ya Mzanzibari, mtu yeyote ambaye kabla au tarehe 12 Januari 1964 alikuwa raia wa sultani huyo ni Mzanzibari
Bila shaka hizo ni sheria Za mvamizi Tanganyika lakini kwa sheria Huo muungano haupo
 
Mzanzibari aliyekimbia vitisho vya waafrika dhidi ya waarabu.

Kwamba bado ameshikilia uraia wake wa Tanzania ni jambo la kujivunia.
Huyu ni Mwarabu, genetic make up yake ni Arabic genes.......... Tunataka mzaliwa wa Tandahimba apate Nobel Prize, siyo mwarabu halafu ngozi nyeusi mnajisifu
 
Uraia pacha hatuutaki sababu - CCM.

Wakitoboa huko mafanikio ya awamu ya sita.

Tuna walaakinini mahali!
nchi ya majuha! brazaj , mimi niwe mkweli, nitshangilia ikia black genes zitapata tuzo hiyo. Hawa ni waarabu, wanadharau watu weusi tutakuwa tujajidanganya kuwa Mtanzania kapata tuzo ya Nobel.
Sawa ni mtanzania kwa vile amezaliwa Tanzania lkn si gene za mwafrika mweusi....... wanasemaga kuwa Africa North of Sahara has got nothing in common to do with Africa South of Sahara
 

Black genes kama walizo nazo kina Kingai, Mahita au Sirro zina umuhimu gani mkuu?

Hawa ukiwakuta wanapambana na nyoka si heri kuwa upande wa nyoka ikaeleweka hivyo mkuu?
 
Black genes kama walizo nazo kina Kingai, Mahita au Sirro zina umuhimu gani mkuu?

Hawa ukiwakuta wanapambana na nyoka si heri kuwa upande wa nyoka ikaeleweka hivyo mkuu?
Ndiyo maana nasema genes za kiafrika ni rubbish, haziwezi kuvuna Nobel Prize, si vema kujisifu eti mtanzania kapata ......... akia Siro, Jiwe Hangaya and the whole team hawawezi kuvuna tuzo hiyo.
Hizo ni gene za weupe... 😀 😀 😀 😀 😀
 

Mkuu nimekusoma vyema loud ana clear. Heshima kwako.

Inawezekana tuna matatizo makubwa zaidi.

Inawezekana huu umatumbi huu ule unyani nyani ungalimo na hasa kwa hii mienzetu:



Ni vipi mtu mzima awaye yote asione umuhimu wa haki, usawa, uhuru na demokrasia katika mahusiano yake na watu wengine?

Jiwe, Hangaya, Kingai, Mahita, Sirro na wote hivi hawaoni mapungufu yao kama binadamu ambaye ni mnyama daraja ya juu zaidi?
 
iwe, Hangaya, Kingai, Mahita, Sirro na wote hivi hawauoni kweli kushabihiana kwao na primates?
can you imagine wanayoyafanya hawa? Hata ile conscious hawana, dhamira zao zimekufa, hawa ni sawa mtu anamlala mama yake au analala na baba yake anaona sawa tu! dhamira haimsuti kuwa hii ni haramu kwa Mungu, kwa watu, kwa miti, kwa wanyama, kwa majani na kwa kila kitu!
 

Nakubaliana nawe 100%.

Kwamba ni ngumu kuwatendea wengine mtu usiyopenda wewe kutendewa?

Bado ujiite binadamu na uwashangae wanapohoji unaowatendea ndivyo sivyo?

Bado hukosekani misikitini na makanisani ukiitisha kuombewa?

Ama!

Pana mwenda wazimu hapa. Kama si wao basi ni sisi.
 
Kama haileti hela Basi haimake sense. Afu picha kila siku tunawakumbusha mnataka mpaka muwe mnabembelezwa au?lete hio picha ya mshindi wa nobe!
Toka yule PM wa Uhabeshi apate hiyo Tuzo halafu akaja akaanza kuwatandika kule Tigray ndo nikaona Mwafrika ni hamnazo asee.

 
Hongera yake mtanzania mwenzetu
Kuna wapuuzi wao wanafanya kazi kwa sifa..leo dunia imekutambua.
 
Labda mtanzania wa chato,kaondoka zenji kabla ya uhuru wa znz ni raia wa uk...mwambie msigwa atulize kalio
 
Kwani umeambiwa lazima ww ushangilie ?
 
Haya siyo majina ya kitanzania. Nilitegemea majina ya akina Mbwana, au Rutashobolwa au Moshi kumbe ni waarabu/wagunya..
Acha hizo bhana sisi wangunya tumefanyaje ten.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…