Mtanzania Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi

'I thought it was a 'joke!': Nobel Prize literature winner Abdulrazak Gurnah says
Tanzanian novelist Abdulrazak Gurnah won the 2021 Nobel Prize in Literature for his ‘uncompromising’ writing on the effects colonialism. But when the Nobel committee notified him of his victory, he initially thought it was a prank phone caller.
Source : Reuters
 

Pongezi kwake
 
Novelista de África, Abdulrazak Gurnah, gana el Nobel de Literatura


Noticias de último momento: Gurnah, que creció en la isla de Zanzíbar pero llegó a Inglaterra como refugiado a finales de la década de 1960, fue galardonado por su escritura "empática y sin compromisos de los efectos del colonialismo y el destino de los refugiados atrapados entre culturas y continentes".
Source : El Tiempo
 
Pongezi kwake

Lazima tumpe pongezi huyu mwandishi wa vitabu kadhaa tajwa duniani aliye pia mwanzuoni mbobevu wa lugha ya Kiingereza atokae Zanzibar Tanzania.

Baadhi ya Watu chache sana wana athiriwa na mtazamo-hafidhina kwa vile hawajawahi kutoka kwenda mbali na vijiji vyao, wilaya, mikoa au nchi zao ndiyo hao wanamkataa huyu kuwa siyo Mzanzibari wala Mtanzania. Lakini wengi wana mtizamo tofauti na wahafidhina hawa maana wanajua manufaaya kuhamia kijiji kingine au wilaya , mkoa na hata nchi nyingine.

Huo ni mtizamo wao wa kidunia ambao pia mwandishi huyu mkongwe amezungumzia suala hili la ubaguzi ktk kitabu hiki kilichompatia tuzo ya Noble ya Literature. Na mtizamo huu haupo Tanzania tu bali duniani kote kuhusu nani ni mtu wa kwao na nani si wakwao.
 
Watu wanalazimisha neema tu, amehamia UK toka 1960's huko akitokea Zanzibar plus he arrived in the UK as a refugee
 
Watu wanalazimisha neema tu, amehamia UK toka 1960's huko akitokea Zanzibar plus he arrived in the UK as a refugee

Watu wengine wametoka makwao Tandahimba hapahapa Tanzania wakiwa na umri wa miaka miwili wakahamia mikoa mingine lakini wanajihesabia kwao ni Tandahimba ingawa hawajarudi toka walipokuwa wana umri wa miaka 2 na sasa wana umri wa miaka 28 na wanaishi Tanga miaka 26 mfululizo.
 
Upo sahihi.
 
Huyu ni Mwarabu, genetic make up yake ni Arabic genes.......... Tunataka mzaliwa wa Tandahimba apate Nobel Prize, siyo mwarabu halafu ngozi nyeusi mnajisifu

Huo ni ubaguzi wa rangi.

Huyu Mtanzania ni somo zuri sana kwa waendesha siasa uchwara huko visiwani dhidi ya “machotara wa Hizbu”. Ni aibu kuwapiga vita Watanzania wenzenu kwa uroho wa madaraka tu.

Abdulrazak anajitambulisha kama Mtanzania/Mzanzibar huku nchi yake haina habari. Maandiko yake yanampambanua kama mwanazuoni makini anayestahili sifa na kutambuliwa. Lakini huku kwetu siasa za mizengwe ndio kitu cha maana.
 
Huyu sio Mtanzania , alizaliwa Zanzibar na akakimbia enzi za kifalme kule Zanzibar hata kabla ya Zanzibar haijakuwa huru. Ni Mtanzania gani anamjua kama sio hao wazungu pekee. Hata hapa Tanzania kuna watu wengi wamezaliwa hapa lakini sio Watanzania, tusipate sifa za kutupaka mafuta ya mgongo.
 
Hata Bolizozo anajiita Mtanzania
 
Mbona wapemba hapo kariakoo....hamuwaiti Watanzania mnawaita wazanzibar....muiteni mzanzibar ashinda tuzo ya NOBEL ,nilipo muona tu sura taarifa ya habari bbc swahili nikajua ni mtu kutoka Zenj.
 
Umeumia eeeh🤣🤣🤣🤣🤣
Tunaweza kuwa na mawazo sawa ila sio kufanana Mindi, unachoona wewe sicho ninachoona mimi
Wewe mwenyewe zao la CCM 😆😆😆😆
Kwani Dada wewe ni zao la mbio Za mwenge?
 
Kwa ujumla CCM ya sasa hivi ni ya watu wapuuzi kabisa! Hata wajinga ni watu mashuhuri ndani ya CCM. Enzi za Nyerere, ilikuwa ni sehemu ya kutia adabu watu wapuuzi.
Nyerere ndiye hamna kitu kabisa. Biblia imesema kwa matunda Yao utawatambua. CCM ni mti uliopandwa Na Nyerere Na haya mavi wanayokunya CCM ndiyo matunda
 
Yes ni mtanzania, ingawa tv moja imesema ati ni mzanzibari, hongera sana kwake
 
Naona Ni zamu ya wazanzi awamu hii na wanavyojua kudeka sasa
 
Afadhali mwafarika na tena mtanzania ameng'aa. Ni zaidi ya miaka 40 tangu mwafrika pekee Wole Soyinka wa Nigeria aipate tuzo hiyo. Miaka ya hivi karibuni ilionekana kama vile mkenya Ngugi wa Thion'go angeweza kuipata lakini haikutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…