Sisi hapa alipewa Kibu Denis, wangine wa kapiga kelele.🤣🤣🤣 Wamarekani ovyo sana. Huwa wanawapa uraia wanariadha kiholela sana. Utakuta timu ya taifa la Marekani kuna Cheruiyot, Omolo, Bekele nk. Mtoto wa mtanzania Gidabuday ni mwanariadha wa timu ya taifa ya Marekani.
Kwa bongo mkuu angekuwa mwizi maarufu wa kura Dunia hii acha tukiafrika afrika kwa akili zake nyingi si ajabu ungekuta anatumikia nchi kwenye mambo haramu ya kompyuta mfano kuiba kura za wapinzan kwenye mifumo ya kompyuta, kudukua taarifa za wapinzani!
Kama hakushika vizuri boti ikiwa speed.Pili ni foreignerCIA wapo kazini yaani mtu adondoke kwenye maji peke yake uchunguzi ufanyike juu ya tukio hilo.
Kweli jf kila mtu jiniazIpo namna. Maybe wivu au kazamishwa kwa sababu za data breach au watu walimlazimisha atoe data fulani akagoma?
Kiranga ni wa 1964Huyu marehemu ni kijana mdogo,Kiranga ni wa 1970s
Nimefikiri sijaamua. Na wewe unaweza kuamua au kufikiri vinginevyoKweli jf kila mtu jiniaz
Umeamua tu iwe data breach
Tupieni picnakajua tangu katoto kabisa..
kanavaa kaptula na kucheza mpira hatari kabisa...
im sure kapo nje pia kwa masters au kazi
very very bright kids kwakweli
Ukimaliza sekondari una umri wa miaka 17 au 18 mwaka 2008 basi ni sawa mwamba kuwa na umri wa miaka 34 au 35 alipofariki.
Inawezekana but kwa makadirio yangu ilikuwa 1970/71Kiranga ni wa 1964
Hapana banaTupieni pic
Kweli kabisaHapana bana
Familia ya watu ipo kwenye majonzi makubwa,waache wa-grieve in peace.
Marehemu ndio kwanza mawe yalianza kukubali hatari halafu tunasikia mambo yakusadikika ya "yatch"
So sad aisee
Typing error!Kwenye CV inasomeka kazi yake ya mwisho ni July 2024 to present...
Usikute tupo mwaka 2025 ila hatuambizani.
Kwenye CV inasomeka kazi yake ya mwisho ni July 2024 to present...
Usikute tupo mwaka 2025 ila hatuambizani.
Nikawaida na desturi ya sisi waTanzania kutoa mkono wa pole mkuu, kama huko kwenu Canada hamna utaratibu huo basi nisawa.Mkuu, unataka kuvuka mpaka sasa.
Waje hapa kugombea sukari na siye na kulala giza kila siku???Watu potential wa taifa wanaenda kufanya KAZI Marekani , sisi kama taifa mnaturudishia mwili Kuzika
Mwamba una kichwa kigumu, miaka 7 si anamaliza la7 na miaka 13, f4 miaka 17, f6 miaka 20.form six hio mkuu ujue kibongo bongo tena enz hizo za miaka saba ndio uanze la kwanza miaka yake nane kamalizia loyola ina maana alimaliza std 7 na miaka tisa au kumi