Sisi hapa alipewa Kibu Denis, wangine wa kapiga kelele.🤣🤣🤣 Wamarekani ovyo sana. Huwa wanawapa uraia wanariadha kiholela sana. Utakuta timu ya taifa la Marekani kuna Cheruiyot, Omolo, Bekele nk. Mtoto wa mtanzania Gidabuday ni mwanariadha wa timu ya taifa ya Marekani.