TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

🤣🤣🤣 Wamarekani ovyo sana. Huwa wanawapa uraia wanariadha kiholela sana. Utakuta timu ya taifa la Marekani kuna Cheruiyot, Omolo, Bekele nk. Mtoto wa mtanzania Gidabuday ni mwanariadha wa timu ya taifa ya Marekani.
Sisi hapa alipewa Kibu Denis, wangine wa kapiga kelele.
 
form six hio mkuu ujue kibongo bongo tena enz hizo za miaka saba ndio uanze la kwanza miaka yake nane kamalizia loyola ina maana alimaliza std 7 na miaka tisa au kumi
Ukimaliza sekondari una umri wa miaka 17 au 18 mwaka 2008 basi ni sawa mwamba kuwa na umri wa miaka 34 au 35 alipofariki.
 
Hapana bana

Familia ya watu ipo kwenye majonzi makubwa,waache wa-grieve in peace.

Marehemu ndio kwanza mawe yalianza kukubali hatari halafu tunasikia mambo yakusadikika ya "yatch"

So sad aisee
Kweli kabisa
Ila jamaa class yao walikuwa ni watundu na wana umoja utasema ni ndugu sipati picha huu msiba karibia wote watakuwa kimara labda kama mzee mgowano atakuwa amesha hama huko
 
Back
Top Bottom