TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

Kheri alijitambua mapema kabla ya viongozi wa CCM kumpa masifa wamharibie maisha kwa kumgeuza chawa!
 
wazungu wamemuua!!!"wazungu wana wivu mno"
 
Kwa safety measures za mambelez inawezekana kweli wakapanda boat bila life jackets? Pole kwa familia ya mwamba!!
Wengi wao hawavai kabisa tena wako simple tu na wanachapa pombe zao
Na boat ni za maana na gharama kubwa
Hatuwezi kujua ila huwa nawaona wengi hawavai kabisa life jacket mpaka iwe hali ya hatari na mawimbi makubwa sana

Kama wamemsukuma au walikuwa wamelewa hatuwezi kujua mpaka uchunguzi
 
Nimemkumbuka Wende Amani kisamfu alikuwa best student necta. Na yeye alienda chuo marekani Stanford kwa scholarship. Na akapata kazi nzuri kule kule california.

Akafa kifo kisichoeleweka. Mwili wake ulikutwa tu kwenye appartment aliyikuwa anaishi california

Kwa nini Vifo vya hawa ma genious vinakuwa sio vya kawaida ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…