TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

R.I.P. Ila jamaa kasoma high school 2001 hadi 2008, si mchezo.
 
Pole kw Tz yetu ila Ukweli ni kwamba hiyo Ndio michongo ya wazungu wanapenda killing za ndani ya maji, eneo la maji.maana uchunguzi unakuwa mgum kinoma hivyo ndio njian rahisi kwao ukienda ulaya au kwa wanzungu epuka kwenda nao kwenye mito au baharini kama huna blacks wezako na watu unao waamini sana.
Na usipokee ushauri unao letwa Twende tukatalii sehemu flan amua kwa utashi wako. Ustoe Ratiba zako za matembezi , wazungu wana hila kinoma ila wanatumia Akili nyingi ..ogopa mtu anakuchekea kila siku ila ana lake analokupangia kwa siri ila ana subiri tu uingie kwenye kupatwa kwa mwezi.yani mkakati ulenge kwenye eneo huska.
La sivyo kuzamishwa ni Dakika chache tu na hakuna Cha finger print wala nn....Hapo
Mwamba walimlia rada siku nyingi hata hiyo safari Huenda walileta wazo naye akakubali kwenda kutalii bila kujua.
Na pia Lazma wakuleweshe kwanza kabla ya tukio.
..Hizo ngozi nyeupe nazijua wana wivu ila hawalogi😄..unaliwa Timing kuliko Paka anavyo Fanya kwa panya ....Paka Anaweza kukeshasha juu ya shimo la panya au njia anayopita panya.. akifanya kutoka tu au kupitia Hilo eneo Anao..imeisha hiyo. Ndivyo na hao Racist walivyo.
 
Hizo ni yatch watu wanakodi wanaenda kula Bata mara nyingi watu wanajiachia tu hawavai life vests sio kama zile ngalawa za kwenda Mbudya Island.
Still won't rule out foul play.
ERoni
Walakini uko hapa, kwenye boti walikuwa 12
Then anadumbukia peke yake,what happened???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…