TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

Unajua kuna tatizo linalowapata watu wenye UTAJIRI wa akili, kuamini Kila mtu anawapenda, kuamini wako salama wakati wote, kuamini hakuna ubaya utawapata.

Wasiwasi na mashaka ni tabia nzuri sana japo wengi huzipuuza.

Binadamu huumia mwenzake kupata kitu Cha thamani, na huumia zaidi kuona yule anayemhisi kwamba Hana thamani amepata kitu Cha thamani.

Wasiwasi na mashaka ni tabia nzuri sana japo wengi huzipuuza...
 
Kweli kabisa
Ila jamaa class yao walikuwa ni watundu na wana umoja utasema ni ndugu sipati picha huu msiba karibia wote watakuwa kimara labda kama mzee mgowano atakuwa amesha hama huko
Msiba upo chanika mwisho,sehemu inaitwa mndendeule jirani na shule ya chekechea nyumba ina geti jeusi
 
Hata mimi nawaza kaangukaje sipati jibu na hata kama kaanguka si mnaona mwenzenu kaanguka mumuokoe hapo hapo hqpa kuna picha la kikatili kwa hao wenzake
Hizi akili za kushikiwa hizi, sasa mbona yule aliedondoka kwenye boti ya Unguja wabobeaji hawakumukoa??? Unayajua wewe maji wewe??Hio ni ajali kama ajali nyingine acheni mawazo ya kichawi.
 
Hao wako tYR hata knyanduliwa
Alafu huyo jamaa anayerusha pesa si ajabu mtoto wake hana ada ama anahitaji hela ya matumizi lakini hampi anamwambia hana
Ila huku anataka aonekana tajiri

Ova
Hahaha. Ila inahuzunisha sana vituko vya hawa watu wazima wanavyofanya tena hadharani wakijulikana. Ni tabia inayokera.
 
1. R.I.P. to Abraham and poleni sana to his family and friends. Apumzike pema peponi.

2. Ukiachana na kamera zinazoweza kuwepo kwenye boti na kamera walizonazo watu mikononi mwao, kuna kamera kwenye nyumba na biashara zinazopoint kwenye Miami River. Kama kuna anything illegal kimetokea kitakuwa kimekamatwa kwenye kamera.

3. Local police watachunguza, not the FBI. Unless kuna kitu suspicious kuhusu kifo chake au kuna kitu chenye utata kimetokea kabla ya kifo chake, the feds hawatahusika.

4. Kila mtu aliyesema kuna kitu hakikosawa amepatia. Watu 12 kwenye boti, mchana kweupe, captain alikuwa hapatikani, boti lilikuwa halikimbii (allegedly), marehemu hana historia ya public intoxication/d&d/any criminal behavior kwenye record yake. It's not a conspiracy wala ujinga kusema it's obvious kuna more to the story. Hopefully hamna foul play.

5. Alphabet/Google ni kama shirika lolote duniani lenye wafanyakazi wengi: kuna watu wanaingiza hela nyingi, watu hela ya kati, na watu hela ya chini. Msidanganywe mkadhani kila mtu kwenye kampuni kubwa ni tajiri. Hiyo ni 100% false na kwa kawaida, somewhere between 89-91% of all earners kwenye kampuni kubwa hawaiingizi hela za kuretire. Kampuni kubwa zipo kwenye states na cities zenye taxes juu ya taxes juu ya taxes. Low pay + terrible equity are the primary reasons watu wengi waliyopo kwenye kampuni kubwa hawakai kwenye hizo kampuni muda mrefu. Ndio maana retention scores za kampuni kubwa ni mbaya na kila kampuni kubwa (e.g., Apple, Microsoft, Ford, GE) wanajihusisha na michezo ya HR na propaganda kwenye press kujenga imani ya kwamba kampuni zao ni mahali bora kufanya kazi.

Nasema yote hayo ili niseme tafadhali msiwadharau watanzania wanaofanya kazi ndani ya Tanzania au kwenye kampuni ndogo. Hizo dharau hazimsaidii mtu yeyote na kama unajali, zinakuexpose wewe na uelewa wako wa dunia.
 
Back
Top Bottom