Mtanzania adai kugundua dawa ya corona, ataka kuonana na Waziri wa Afya

KATIKA MAISHA YANGU YOTE NAWEZA KUSEMA KUWA KATIKA MIAKA HII TUNAWATU MAILI HADI BC, MARA TITO, MARA MZEE WA LOLIONDO TENA HUYO TENA, NASIKIA HADI WA UKIMWI, YANGU MASIKIO, ILA CHA AJABU WANGINE WANAKAMTWA WENGINE WANAFAGILIWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amethibitisha kupitia kumtibu mgonjwa yupi wa Corona?? Au dawa inatangazwa Kwanza kabla haijafanyiwa majaribio??. Hebu ajiambukize kwa makusudi arafu ajitibu akiwa wakwanza tuone Kama inafaa. Hakuna majaribio Tena ya maisha ya watu kama kikombe Cha Babu.
 
Kuvaa mask ni dalili ya kukosa dawa?

Hivi mmesoma vyuo gani wengine?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali fikirishi ana dawa anaogopa korona kwa kuvaa maski.
Angekuwa na dawa asingengoja kibali
 
Tapeli anatakaapate sifa kupitia mgongo wa waziri,hana tofauti a babu wa Loliondo
Dawa ikifanyiwa uchunguzi wakakuta inatibu akipata sifa ww utapata hasara gani? Tz tumekuwa tukipuuza sana watu wa aina hii na wanaogundua vitu mbalimbali vyenye maslahi mapana kwa taifa.. tuwape nafasi waoneshe uwezo wao then ndo tukosoe!
 
Kwa ujuha wetu atachekwa na kubezwa kwakuwa tu ni mtanzania halafu ni Mweusi ila angefanya hivyo mchina au mzungu angepewa sifa zote

Jr[emoji769]
Afuate taratibu... Hakukua na sababu ya kujipublish ili apate sifa za kijinga...

Ofisi zilipo anafaham..angeweza kwenda kimyakimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…