Mtanzania adai kuteswa Iraq, alienda kufanya kazi

Mtanzania adai kuteswa Iraq, alienda kufanya kazi

Kuna majitu uwa hasikiii. Yakisikia vitendo wanavyofanyiwa raia wa kigeni especially waafrica huko Mashariki ya kati ya nasema ni propaganda za magharibi.
Ingekuwa wote wanafanyiwa hoia YAKO Ingekuwa na maana.
Wengine mwaka wa 15 wapo huko wametengeneza maisha
 
tumeshindwa kutumia rasilimali tulizonazo toka uhuru kuwafanya watu wetu kuwa bora, wenye maarifa ya kutosha kichwani, wenye akili za kushindana na kasi ya dunia.

Baadala tuko busy kuinduce ujinga kwenye vichwa vya watu ili tuendelee kutawala, matokeo yake ni haya sasa, kutengeneza viumbe duni wanaoonewa kila kona ya dunia na kushindwa kujitetea wala kutetewa.

Dunia haiko kusaidia wasiojielewa, kila Taifa liko busy kujenga mifumo rafiki na itakayofavor raia wake waishi kwa furaha.
 
Jamani mabinti zetuu msiende uarabuni , haojama basii tuu
Hawasikiii na kila siku migration pale wanaenda omba Passport, mdada ametoka bush ameshakalilishwa majibu akiulizwa tofaut na hayo anajiuma.
 
Lakini karne hii hatuna rekodi za wa ulaya wakiwanyanyasa wafanyakazi wa ndani.No wonder waarabu wanapendelea kupata hifadhi ulaya kwa hao mnaowashutumu mashoga.Kwa nini wasipate asylum nchi za kiarabu?Ina maana waarabu wanaokimbilia europe wanaendaga kufukuliwa mtaro?
Kwani hapa si waarabu angalia jamaa kaingiza ishu gani? Ndo maana nikapost hyo
 
Waw
Kuna majitu uwa hasikiii. Yakisikia vitendo wanavyofanyiwa raia wa kigeni especially waafrica huko Mashariki ya kati ya nasema ni propaganda za magharibi.
waweza kuta unajibishana na mtu kama huyo mshitakiwa.

Wapo wengi sana humu wanaonufaika na hiyo biashara haramu kwa kigezo cha kuwatafutia kazi.
 
Iraq kufanya kazi? Kwani yeye ni askari kwamba alienda kwenye mission?

Yaani unaiacha Tanzania na utamu wake unaenda Iraq kufanya kazi?
 
Back
Top Bottom