Mtanzania Afariki Baada ya Kumeza Dawa za Kulevya akiwa katika harakati za kupoteza kidhibiti South Africa

Huyo dogo hajameza madawa kama polisi walivyoripoti isipokuwa,, waliingia kusachi kwenye mjengo wa huyo dogo wakamkuta na hela ndipo walipombana na kumuambia aonyeshe madawa yako wapi, walimvesha mfuko na kumuwekea maji kisha kumpiga sana mpaka kupelekea kifo chake na baada ya kujua kuwa wameua ndipo walipopanga njama ya kuwa eti kameza madawa,, hayo madawa unamezaje mda huo huo ufe apo apo,, kifupi polisi wameua na ndio sababu watu wamepatwa hasira na kuanzisha vurugu,, huyo dogo namfahamu vizuri tu,, na kuna jamaa mwingine aliyekuwa nae siku ya tukio nae nimempokea mwenyewe hapa dizonga, msipende kukandia na kukashifu vitu msivyovijua
 

Sawa alikua anajishughulisha na nini? Ili tuanzie hapo haiwezi kuja tu asachiwe, auliwe kama hakuna taarifa yoyote yaani wazee waje tu?
 
Sawa alikua anajishughulisha na nini? Ili tuanzie hapo haiwezi kuja tu asachiwe, auliwe kama hakuna taarifa yoyote yaani wazee waje tu?
Huyo dogo alikuwa ana saloon yake,, kifupi ni hivi hapa south Africa hususan joberg kuna wazee wengi wa mchongo,, yani hili jina la kitu kama magumashi kuitwa cha mchongo haya mambo wameanzisha wabongo wa huku mjue,, so hao wazee wa mchongo wakijua una kidosho wanaweza wakakutengenezea tambara ili wakupukutishe kidosho chako,, kisingizio madawa kwa kuwa wamekariiri wageni wanauza madawa wakati hata wazawa wengi tu wanauza,, dogo amedhulumiwa uhai wake ndo maana watu wameandamana na kufanya fujo.
 
Oya hapa Habar imepindishwa jamaa alikuwa disco karudi kama saa Tisa usiku police wakawa wanamsubiri nje wakachukua pesa zakena walimpiga mpaka akapiga kelele wananiua na wakamuua kweli,hayo mengine wametunga polisi walitaka pesa nyingi na jamaa haikuwa nazo
 

Mi ndo maana sipendi kuwa karibu na wabongo ila sio wote.alafu jozi hapa kuna maeneo ukiishi hayo kukutokea ni jambo la kawaida.
 
Jf wajuaji wengi
 
Why Police walitaka hela Nyingi? Why wamsubirie nje ya Nyumba yake? Alikuwa anajishughulisha na Kazi gani South Africa?Kwa nini yeye na sio Mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…