Mtanzania Afariki Baada ya Kumeza Dawa za Kulevya akiwa katika harakati za kupoteza kidhibiti South Africa

Tutakuamini je, mnapotosha hau watoto hao police sio wa bongo, lazima uhisiano na dawa za kulevya upo sana, mbona amtaji shghuri zake halal zaidi ya hizo stori zenu za kutunga nani asio jua mbigo akiwa South kama sio highway robbery ni dawa za kulevya au uporaji wa Town. TZ tupata elimu tuwe kama wageni wengine ukò south Africa, mission zetu ziko risky sana, hatuna maendeleo ya maana, huwezi kuonyesha duka zuri hapo Johannesburg la mbongo, ni wasomali wa Nigeria wa Zimbabwe lakinini sio wa Tanzania?
 

Safi sana mkuu, hao kenge wanaongea ongea na ukweli unao wewe safi sana waache waendelee kubwabwaja kenge za blue hizo zote zinazompondea jamaa. BIG UP NINJAH
 
Wana shughuli gani huko, mpaka wanaitiwa polisi?
 
Capital ya kuanzia ni wewe mwenyewe, hamna sehemu yakukupa mtaji bila wewe kuweka juhudi na uaminifu, watanzania vijana wengi wezi, hawana uaminifu na hawana maono.

Tuombe kwa Mwenye Enzi Mungu aondoe hiyo laana walahi!
Huruma na neema yake ndio inahitajika [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hivi ndiyo huyo abd sugu au

Ova
 
Hizo ndo dili za watanzania af wajifanya wajanja sana, kuliko mataifa mengine

Ah wewe nawe umezidisha ku generalize mambo, eti fyufyu
Watanzania wote wacha hiyo wewe allah[emoji35]
 
Aise,poleni kwa mimi sishangai
South africa kuna crooks police wengi
Tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…