404 Pages
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,703
- 2,963
Omari Othman Hamisi kaji capitalize kaingia Johannesburg wewe umeji capitalize umeenda wapi?Capital ya kuanzia ni wewe mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Omari Othman Hamisi kaji capitalize kaingia Johannesburg wewe umeji capitalize umeenda wapi?Capital ya kuanzia ni wewe mwenyewe
Mafanikio yana Mambo meusi mengi matajiri wengi unaowajua mikono yao inanuka damu,Wanajifanyaga kupanda ndge kila siku kwenda dubai
Kwahiyo kama anajishughulisha mfano na madawa ndo auliwe?Sawa alikua anajishughulisha na nini? Ili tuanzie hapo haiwezi kuja tu asachiwe, auliwe kama hakuna taarifa yoyote yaani wazee waje tu?
Umeuliza swali zuri sana, Jana amedakwa Mafioso mmoja huko Palermo hawajamuu na ni mgonjwa wa cancer, inakuaje huyu?Kwahiyo kama anajishughulisha mfano na madawa ndo auliwe?
Tutakuamini je, mnapotosha hau watoto hao police sio wa bongo, lazima uhisiano na dawa za kulevya upo sana, mbona amtaji shghuri zake halal zaidi ya hizo stori zenu za kutunga nani asio jua mbigo akiwa South kama sio highway robbery ni dawa za kulevya au uporaji wa Town. TZ tupata elimu tuwe kama wageni wengine ukò south Africa, mission zetu ziko risky sana, hatuna maendeleo ya maana, huwezi kuonyesha duka zuri hapo Johannesburg la mbongo, ni wasomali wa Nigeria wa Zimbabwe lakinini sio wa Tanzania?Huyo dogo hajameza madawa kama polisi walivyoripoti isipokuwa,, waliingia kusachi kwenye mjengo wa huyo dogo wakamkuta na hela ndipo walipombana na kumuambia aonyeshe madawa yako wapi, walimvesha mfuko na kumuwekea maji kisha kumpiga sana mpaka kupelekea kifo chake na baada ya kujua kuwa wameua ndipo walipopanga njama ya kuwa eti kameza madawa,, hayo madawa unamezaje mda huo huo ufe apo apo,, kifupi polisi wameua na ndio sababu watu wamepatwa hasira na kuanzisha vurugu,, huyo dogo namfahamu vizuri tu,, na kuna jamaa mwingine aliyekuwa nae siku ya tukio nae nimempokea mwenyewe hapa dizonga, msipende kukandia na kukashifu vitu msivyovijua
Huyo dogo hajameza madawa kama polisi walivyoripoti isipokuwa,, waliingia kusachi kwenye mjengo wa huyo dogo wakamkuta na hela ndipo walipombana na kumuambia aonyeshe madawa yako wapi, walimvesha mfuko na kumuwekea maji kisha kumpiga sana mpaka kupelekea kifo chake na baada ya kujua kuwa wameua ndipo walipopanga njama ya kuwa eti kameza madawa,, hayo madawa unamezaje mda huo huo ufe apo apo,, kifupi polisi wameua na ndio sababu watu wamepatwa hasira na kuanzisha vurugu,, huyo dogo namfahamu vizuri tu,, na kuna jamaa mwingine aliyekuwa nae siku ya tukio nae nimempokea mwenyewe hapa dizonga, msipende kukandia na kukashifu vitu msivyovijua
Wana shughuli gani huko, mpaka wanaitiwa polisi?Huyo dogo hajameza madawa kama polisi walivyoripoti isipokuwa,, waliingia kusachi kwenye mjengo wa huyo dogo wakamkuta na hela ndipo walipombana na kumuambia aonyeshe madawa yako wapi, walimvesha mfuko na kumuwekea maji kisha kumpiga sana mpaka kupelekea kifo chake na baada ya kujua kuwa wameua ndipo walipopanga njama ya kuwa eti kameza madawa,, hayo madawa unamezaje mda huo huo ufe apo apo,, kifupi polisi wameua na ndio sababu watu wamepatwa hasira na kuanzisha vurugu,, huyo dogo namfahamu vizuri tu,, na kuna jamaa mwingine aliyekuwa nae siku ya tukio nae nimempokea mwenyewe hapa dizonga, msipende kukandia na kukashifu vitu msivyovijua
Wana shughuli gani huko, mpaka wanaitiwa polisi?
Capital ya kuanzia ni wewe mwenyewe, hamna sehemu yakukupa mtaji bila wewe kuweka juhudi na uaminifu, watanzania vijana wengi wezi, hawana uaminifu na hawana maono.
Hivi ndiyo huyo abd sugu auHuyo dogo hajameza madawa kama polisi walivyoripoti isipokuwa,, waliingia kusachi kwenye mjengo wa huyo dogo wakamkuta na hela ndipo walipombana na kumuambia aonyeshe madawa yako wapi, walimvesha mfuko na kumuwekea maji kisha kumpiga sana mpaka kupelekea kifo chake na baada ya kujua kuwa wameua ndipo walipopanga njama ya kuwa eti kameza madawa,, hayo madawa unamezaje mda huo huo ufe apo apo,, kifupi polisi wameua na ndio sababu watu wamepatwa hasira na kuanzisha vurugu,, huyo dogo namfahamu vizuri tu,, na kuna jamaa mwingine aliyekuwa nae siku ya tukio nae nimempokea mwenyewe hapa dizonga, msipende kukandia na kukashifu vitu msivyovijua
Hizo ndo dili za watanzania af wajifanya wajanja sana, kuliko mataifa mengine
Acha ufala,
Alikuwa anaishi wapi maghorofani au nyumba ndogo maana me wa shekilango pia navuta picha hata simjuiDah namjua kabisa huyo mwanetu wa shekilango
Huyo dogo anaitwa abdilahi ni mtiei ( mtanga)Hivi ndiyo huyo abd sugu au
Ova