Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
408
Reaction score
1,549
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.
 
Halafu cha ajabu nimeona wanaomba mchango wa $4,500 za kuweza kurudisha mwili TZ.

Yani mtu aende na kiranga chake mwenyewe cha kutaka kumkosoa Mungu halafu ndugu na jamaa waje kuomba msaada wa kurudisha mwili wake.

Ikiwa alikuwa na pesa za kwenda kuweka matako basi lazima itakuwa ana pesa za kutosha kurudisha masalia ya hayo matako.
 
Apumzike mahali alipojichagulia,

Hii YOTE ili kuwafurahisha wanaume au Kuna kingine??

Wanaume wanapenda sana wanawake wenye matako that's why sisi tuliopigwa pasi tunakosa utulivu 😭
 
Wajinga hawa

Ova
 
Mkuu, kwenye mambo ya kipuuzi ebu usilitaje bure jina la Mungu wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…