Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
kifo cha kujitakia, alale anapodtahili
 
Halafu cha ajabu nimeona wanaomba mchango wa $4,500 za kuweza kurudisha mwili TZ.

Yani mtu aende na kiranga chake mwenyewe cha kutaka kumkosoa Mungu halafu ndugu na jamaa waje kuomba msaada wa kurudisha mwili wake.

Ikiwa alikuwa na pesa za kwenda kuweka matako basi lazima itakuwa ana pesa za kutosha kurudisha masalia ya matako yake.
Aibu kubwa sana
 
Kwani Uturuki hakunaga makaburi?
 
Back
Top Bottom