Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Sisi mashangazi wenye makalio makubwa kwa kweRi tunaringa mjini hapa. Mungu ametubariki zawadi ya KUDUMU.

Kumbe kuna watu wanayasaka makalio hadi wanafarikii????? Jamaniiiii nimebubujikwa na machozi!

Angenifwata nimmegee kipande cha kalio ajibandikie na superglue na yeye angalau awe mtu katika watu!

Mjini makalio. Mtakufa sana Alaaah 🥱🥱🥱

Cc Lamomy Poor Brain mshamba_hachekwi fundi bishoo
Hata mimi nimejikuta nabubujikwa na machozi kama wewe antiel 😂😂😂😂😂
 
Wanaume tutamchangia hakika, alikuwa katika kujitetea na kutuletea mema..... wanapitia wakati mgumu sana hawa wasio na shepu.
Ila anazingua - Hataki kutoa bajeti iwe ndo mwongozo. anadhani watu watachangaje? Uzembe huo ndo huo huo uliompeleka Uturuki.
 
Apumzike mahali alipojichagulia,

Hii YOTE ili kuwafurahisha wanaume au Kuna kingine??

Wanaume wanapenda sana wanawake wenye matako that's why sisi tuliopigwa pasi tunakosa utulivu 😭
Mwanamke wa mithali 31. Mwanamke asipojitambua katika dunia hii ni kazi bure. Huoni baby mama wa Diamond (Tanasha) alivyojiharibu mdomo. Kisa?

Kama kweli una japo 20% tu ya sifa za mwanamke wa Mithali 31 basi wewe tayari ni lulu katika shimo la takataka. Halafu uwe unajitambua sasa uwiii! Na upate mwanaume anayeijua thamani yako, mbona dunia yote itakuwa yenu?

Screenshot_20240504_141013_Swahili Bible Offline.jpg
Screenshot_20240504_141030_Swahili Bible Offline.jpg


➡️➡️➡️ Marehemu apumzike salama. Amefariki akitafuta alichodhani kuwa, kama mwanamke, kingempa furaha na ridhiko. Ambacho hakujua ni kwamba wengi waliofanya haya maoperesheni ya kuongeza makalio wanahangaika kuya-reverse maana yanawaletea matatizo kweli kweli hasa wakigusa huko 40+ (mf. IG: Miss Miami TV). Inavyoonekana side effects zake hazijajulikana sawasawa japo wengi wanalia maumivu makali yasiyokoma; na hata uwezekano mkubwa wa kupata saratani. Ridhikeni tu na Muumba alichowapa jamani!
 
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
nimecheka sina mbavu jinsi mleta habari alivyohitimisha yale maneno maarufu kunapotokea msiba yameandikwa bila mukhtadha wa tukio lenyewe japo ni msiba. Inna lillahi waina rajium
 
Back
Top Bottom