Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Nilisikiaga kuna ya Mchina na hayahitaji upasuaji. Yaliishia wapi?:AlizeePLS:
 
Halafu cha ajabu nimeona wanaomba mchango wa $4,500 za kuweza kurudisha mwili TZ.

Yani mtu aende na kiranga chake mwenyewe cha kutaka kumkosoa Mungu halafu ndugu na jamaa waje kuomba msaada wa kurudisha mwili wake.

Ikiwa alikuwa na pesa za kwenda kuweka matako basi lazima itakuwa ana pesa za kutosha kurudisha masalia ya matako yake.
Kama ulijua mkuu, co
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Kama Mungu hamkumjaalia makalio makubwa, hao waturuki wangeyapata wapi ya kumwekea?

Wahindi wana shepu ya kabati na wanaridhika nayo,
Marehemu alikosa hekima, na pia hakulelewa kwa maadili ya dini,
 
Wataalamu hebu watoe elimu ili kina Dada wasi risk maisha yao,

Kipi kinafanya wafe kwenye kuongeza makalio? Hua ni operation wanayakata na kisu? Je damu nyingi huvuja? Maswali ni mengi ila kinachopelekea hasa kifo kwenye hiyo operation hua ni nini?
 
Tungepata dactor atujuze, hayo makalio yanaongezwaje, na je hivyo wanavyojaza wanavitoa wapi,

Na pia hayo makalio yanadumu kwa muda gani?
 
Mchangieni
Tujue kwanza ana kianzio (salio-anzia)kiasi gani halafu atamke makadirio ya gharama (budget Estimates) kwa shughuli hiyo ili nasi tujipange kila mtu atachanga kiasi gani - kama hana kitu aambiwe "Mkono mtupu haulambwi".:AYAYAYA:
 
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Wanawake ni watu wasioridhika,hivi uzuri wote huo bado alikuwa anatafuta nini?yote ni kutafuta attention,kaaazi kwelikweli....
 
Tujue kwanza ana kianzio (salio-anzia)kiasi gani halafu atamke makadirio ya gharama (budget Estimates) kwa shughuli hiyo ili nasi tujipange kila mtu atachanga kiasi gani - kama hana kitu aambiwe "Mkono mtupu haulambwi".:AYAYAYA:
Au basi azikwe uko uko
 
Sisi mashangazi wenye makalio makubwa kwa kweRi tunaringa mjini hapa. Mungu ametubariki zawadi ya KUDUMU.

Kumbe kuna watu wanayasaka makalio hadi wanafarikii????? Jamaniiiii nimebubujikwa na machozi!

Angenifwata nimmegee kipande cha kalio ajibandikie na superglue na yeye angalau awe mtu katika watu!

Mjini makalio. Mtakufa sana Alaaah 🥱🥱🥱

Cc Lamomy Poor Brain mshamba_hachekwi fundi bishoo
 
Hebu nione
 
Hawa wafage tu watu wanaenda hospitalini sababu ya matatizo ya lazima lakini wewe kisa upo na makalio madogo ndo uende? kwanza huyu lazima alikuwa anajiuza.
Mkuu, Mawazo yako yanaheshimika lakini huyu bibie naye aliona kuwa na makalio madogo ni tatizo kwake au ni kikwazo/changamoto kwake inayomzuia asitoboe.:DojaDance:
 
Back
Top Bottom