Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Broo; Usiwapuuze. Ni wajasiriamali hao ujue.Yaani kwa kifupi huyo ni muuzaji wa K na kyundu.
Inawezekanaje utumie mamilioni kadhaa kuweka tyakko kubwa mwisho wa siku likusaidie kitu gani zaidi ya kuuza kyundu?.?
Kuna watu vichwa vyao vina matope.