Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Unakuta baada ya upasuaji alipata infection sasa kupambana na hiyo infection vita yake inaweza kumletea kifo.Wataalamu hebu watoe elimu ili kina Dada wasi risk maisha yao,
Kipi kinafanya wafe kwenye kuongeza makalio? Hua ni operation wanayakata na kisu? Je damu nyingi huvuja? Maswali ni mengi ila kinachopelekea hasa kifo kwenye hiyo operation hua ni nini?