Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Pressure au Shinikizo la damu la juu (HBP) au la chini (LBP) kuna visababishi vingi; lakini pia laweza kutokea ghafla kutokana na mshtuko aupatao mtu kutokana na Tukio lililompata. Unaonaje kama huyu muathirika alishtushwa na matokeo (-ve) ya kilichofanyika au alipozinduka baada ya upasuaji kukamilika (dawa nusukaputi huweza kusababisha mtu kuwa na mawenge anapozinduka) Ila samahani mm sio daktari.Fafanua ishu ya presha hapo View attachment 2980548