Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Classmate ameenda kuongezea shape maana nilimwambia siyo zuri hili la asaiv ..dah kumbe nimemuua😂😂😂
 
Apumzike mahali alipojichagulia,

Hii YOTE ili kuwafurahisha wanaume au Kuna kingine??

Wanaume wanapenda sana wanawake wenye matako that's why sisi tuliopigwa pasi tunakosa utulivu 😭
Hawaelewi tu 'yakihindi' ndiyo habari ya mjini sasahivi.

Mitako mdebwedo nani anayataka?

Huyo ni shetani la mauti lilimwita na akalitii, tena kwa gharama za passport na ticket ya ndege juu!
 
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Kwenye hili bwana hausiki, msimbebeshe lawama
 
Tungepata dactor atujuze, hayo makalio yanaongezwaje, na je hivyo wanavyojaza wanavitoa wapi,

Na pia hayo makalio yanadumu kwa muda gani?
Zamani walikuwa wanaweka maji maji fulani hivi yanatengenezwa maabara ukiyatazama utadhani maji ya bamia. Yana rangi ya weupe wa silver. Ila ni ya gharama sana. But wakapata namna nafuu ambayo watu wengi wataweza mudu gharama zake. Wanatumia mafuta hayo kwenye mwiki wako wanayavuta kwa mashine halafu wanaanza kuyainject kwenye maeneo unapotaka pajae shepu.

Ni process ya maumivu kidogo ingawa mteja anawekewa ganzi na nusu kaputi wakati wa kufanyiwa process but its a very tedious and complex process for me.

Sehemu wanapoingiza zile sindano ni kubwa unene wake ni size ya msumali ule mkubwa wa inchi 6 na urefu ile sindano inakuwa kama sentimita 30.

Wanafyonza mafuta ya tumboni, nyuma ya mikono, eneo la mbavu yaani sehemu zote ambazo wanawake hampendi ziwe zimejaa jaa. Halafu yale mafuta yanakuwa standby kwenye mashine ambayo baadae yanatumika sasa kuanza kuyajaza sehemu za matakoni, chini ya matako kwenye hips na kadhalika ili kujaza shape.

Process ikikamilika muhusika hawezi kukalia matako atatakiwa kulalia tumbo kwa muda kidogo akisubiria maumivu yapoe na vidonda kupona na mafuta kublend kwenye host area.

Kudumu kwa matokeo inategemea na clinic iliyofanya operation, client age and health, lakini pia ubora wa dawa za baada ya operation.

Ila kwa sources mbali mbali nilizopitia na kusoma inaonyesha kuwa in a short run inakuwa almost okay but in the long run huwa kuna complications hutokea kama makalio kushuka, implants kureject host area na kuanza kutunga usaa ambao utatakiwa kutolewa through a very painful procedure, ngozi kuwa na constant irritations na hata kuvimba kama allergies, implants kuleta infections na hata kansa au uvimbe, maji maji eneo la host ambayo hutoka kama jasho kuwa na harufu ya kukera au mbaya.
 
Duh aisee,,,,kumbe sisi wanawake ni majisiri hivi
 
Sisi mashangazi wenye makalio makubwa kwa kweRi tunaringa mjini hapa. Mungu ametubariki zawadi ya KUDUMU.

Kumbe kuna watu wanayasaka makalio hadi wanafarikii????? Jamaniiiii nimebubujikwa na machozi!

Angenifwata nimmegee kipande cha kalio ajibandikie na superglue na yeye angalau awe mtu katika watu!

Mjini makalio. Mtakufa sana Alaaah 🥱🥱🥱

Cc Lamomy Poor Brain mshamba_hachekwi fundi bishoo
Sikuwahi kujua kama wewe ni She tena lishangazi..maua yako tafadhari.

Naomba ukaribisho Tafadhari.
 
Asa n

Asante mkuu kwa maelezo, yaliyoshiba hasa,
Kama hivi ndivyo inavyofanyika, hawa dada zetu watakuwa na roho ngumu sana,
 
Sisi mashangazi wenye makalio makubwa kwa kweRi tunaringa mjini hapa. Mungu ametubariki zawadi ya KUDUMU.

Kumbe kuna watu wanayasaka makalio hadi wanafarikii????? Jamaniiiii nimebubujikwa na machozi!

Angenifwata nimmegee kipande cha kalio ajibandikie na superglue na yeye angalau awe mtu katika watu!

Mjini makalio. Mtakufa sana Alaaah 🥱🥱🥱

Cc Lamomy Poor Brain mshamba_hachekwi fundi bishoo
Nitumie pm nilione kama linaridhisha.
 
Back
Top Bottom