Mtanzania afukuzwa China kwa kushindwa kuheshimu taratibu za kujinga na ugonjwa wa covid-19

Basi tutapata kazi kubwa ya kupambana na matatizo mawili, covid-19 na stupidity
Wenzetu wako makini sana. Sisi tulikuwa tunawaacha wachian wanaingia holela Tanzania hata baada ya nchi nyingine kuwapiga marufuku
 
Hao wachina ni wastaarabu sana angekuwa North Korea tayari ndugu zake wangekuwa wanaanua matanga.
Analeta uchoko kwenye nchi za watu.?
 
Chadema wanatuharibia Nchi
Kila ukilala unawaza chadema tu maana bila chadema huwezi kwenda chooni.kwani Pole pole amerudisha ule mpango/utaratibu wa kuwalipwa buku 7..naona umerudi kwa kasi sana hapa jukwaani.

LB7000 f.c
 
Naomba nisaidie jina lake mkuu, ikiwezekana hata picha yake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi najuwa huo ndiyo Wasifu halisi wa Mtanzania,Yaani hata ukimfungia ndani ya chupa atataka atoe kidole nje.Shwain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…