FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Na ndiyo lugha ya Taifa ya Tanzania. Usisahau hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndiyo lugha ya Taifa ya Tanzania. Usisahau hilo.
hainisaidii lolote kamwe humu duniani, afadhali kiingerezaNa ndiyo lugha ya Taifa ya Tanzania. Usisahau hilo.
Ujanja upi wakati anaenda kukaa jela mpaka ndege zitapoanza kuruhusiwa safari.
Wenzetu wako makini sana. Sisi tulikuwa tunawaacha wachian wanaingia holela Tanzania hata baada ya nchi nyingine kuwapiga marufukuBasi tutapata kazi kubwa ya kupambana na matatizo mawili, covid-19 na stupidity
Chadema wameharibu vijana wetu ndiyo maana wengine wanadiriki hadi kwenda gerezani kuwapa amri na kupambama na KM.Yaani sisi majeuri kila sehemu
Huwa unanikera na kijisentensi chako hicho basi tu.Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ujeur wap hatuna sifa ya ujeur. Tunasifa ya unafiki na ujinga.Yaani sisi majeuri kila sehemu
Yaani sisi majeuri kila sehemu
Na mabhangi wanavutaga saazingine! Kiburi gani cha kitoto namna hiyo!Yaani sisi majeuri kila sehemu
Kila ukilala unawaza chadema tu maana bila chadema huwezi kwenda chooni.kwani Pole pole amerudisha ule mpango/utaratibu wa kuwalipwa buku 7..naona umerudi kwa kasi sana hapa jukwaani.Chadema wanatuharibia Nchi
Hivi una akili sawasawa kweli?Chadema wanatuharibia Nchi
Maelezo ya mmoja wetu kuhusu hilo yako hivi:-
“Naomba kushare na ninyi jambo moja linasikitisha kidogo. Jana kwenye mitandao ya kijamii hapa China kumeibuka habari ya kuchafua jina letu Tanzania. Kuna mtanzania mwenzetu ameripotiwa kufanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na maelekezo tunayopewa na Balozi wetu ya kutii maagizo ya mamlaka za hapa, na kufuata sheria. Inatajwa kuwa mtanzania mkazi wa Beijing anayefanya kazi kwa miaka mingi hapa China.
Huyu jamaa anatajwa kuwa alikuwa anaenda Tanzania lakini safari haikuendelea kwa kuwa Dubai hakuna ndege ya kwenda Tanzania akalazimika kurudi Beijing, lakini baada ya kurudi Beijing alikataa kuvaa mask (huku china kuvaa mask kwa mtu yeyote ni lazima), alitoa lugha ya kifedhuli kwa mamlaka husika, na baada ya kuambiwa awe kwenye karantini aliikuka agizo na alivuinja camera ya usalama kwenye eneo analokaa na kutoka nje”
Nyongeza ya taarifa.
“Order ya deportation mtanzania mwenzetu niliyewaambia asubuhi imetolewa”View attachment 1406758View attachment 1406763