Sio ukichaa,sie wabongo rahisi Sana kulewa madaraka,
Nakumbuka Kuna kipindi nilikuaga katibu tarafa,,nilikuwa nikijiona Mimi ni kila kitu,dharau,ngebe etc
Saa hizi nimenyooka haswa,,nimejua maana ya msemo,"Nothing is Permanent".๐ ๐ ๐ , kwasasa ujeuri umekuisha?
Saa hizi nimenyooka haswa,,nimejua maana ya msemo,"Nothing is Permanent".
Kama George bush aliewahi kuwa raia namba moja wa dunia,leo ukienda kwake Ranch crowford,anaboeka Hadi anakamata fagio kufagia samadi uwanjani,Mimi ex katibu tarafa nikiwa watchman tabu gani?
Amelikoroga
Na akitua tu airport bongo ni direct kwenye quarantine kwa lazima...tena kwa garama zake binafsi.
Mkataa Pema Pabaya Panamwita
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini kilitokea Mkuu..ulifukuzwa ukatibu tarafa au!?Saa hizi nimenyooka haswa,,nimejua maana ya msemo,"Nothing is Permanent".
Kama George bush aliewahi kuwa raia namba moja wa dunia,leo ukienda kwake Ranch crowford,anaboeka Hadi anakamata fagio kufagia samadi uwanjani,Mimi ex katibu tarafa nikiwa watchman tabu gani?