Mtanzania afukuzwa China kwa kushindwa kuheshimu taratibu za kujinga na ugonjwa wa covid-19

😅😅😅, kwasasa ujeuri umekuisha?
Sio ukichaa,sie wabongo rahisi Sana kulewa madaraka,
Nakumbuka Kuna kipindi nilikuaga katibu tarafa,,nilikuwa nikijiona Mimi ni kila kitu,dharau,ngebe etc
 
😅😅😅, kwasasa ujeuri umekuisha?
Saa hizi nimenyooka haswa,,nimejua maana ya msemo,"Nothing is Permanent".
Kama George bush aliewahi kuwa raia namba moja wa dunia,leo ukienda kwake Ranch crowford,anaboeka Hadi anakamata fagio kufagia samadi uwanjani,Mimi ex katibu tarafa nikiwa watchman tabu gani?
 
Akija kama atakuwa ni wa kaki atasemwa sana na gavàna bashite ila kama ni wa kijani hamna noma kabisa
 
Huyo akitua tu kwa lazima apelekwe quarantine kwenye ile hotel ya gharama kubwa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
 
😅😅😅, hongera kwa kulitambua hilo.
Saa hizi nimenyooka haswa,,nimejua maana ya msemo,"Nothing is Permanent".
Kama George bush aliewahi kuwa raia namba moja wa dunia,leo ukienda kwake Ranch crowford,anaboeka Hadi anakamata fagio kufagia samadi uwanjani,Mimi ex katibu tarafa nikiwa watchman tabu gani?
 
Kuna mwengine nae kakimbia karantini kakimbilia iringa, sasa huyu aliyekimbilia iringa inabidi akae karantini siku 14 na akionekana hana maambukizi apelekwe selo wiki mbili pambaf zake
 
Saa hizi nimenyooka haswa,,nimejua maana ya msemo,"Nothing is Permanent".
Kama George bush aliewahi kuwa raia namba moja wa dunia,leo ukienda kwake Ranch crowford,anaboeka Hadi anakamata fagio kufagia samadi uwanjani,Mimi ex katibu tarafa nikiwa watchman tabu gani?
Nini kilitokea Mkuu..ulifukuzwa ukatibu tarafa au!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom